Wakuu naomba kupata uzoefu wenu Kwa wale waliowekeza au kufuatilia uwekezaji wa apartments huko Dubai na miji mingine, naomba kujua hii biashara inaendeshwaje hasa ukiwa mbali na namna ya kuwekeza inakuwaje?
Mtu mwenye uzoefu wa kuwekeza kwenye ma apatimenti nje ya bongo ni mbunge wa Kahama mjini mzee Jumanne Kishimba aka J4; huyu anaweza kukupa ABC za biashara hiyo nje ya nchi. Check nae, utanishukuru baadae

Habari yako Investor 1
Uendeshaji unategemea unataka kuwekeza kwa soko gani. Kuwa mbali sio tatizo zipo kampuni zinaweza kukufanyia management vizuri sana