Uwe mkweli, namba ngapi? ongeza sauti basi, dah!

Mleta mada kama baba ako angejua.hela aliyotumia kukupeleka shule ujue kusoma.
Angelimia matikiti angepata faida
 
Taratibu mbalizi
 
Kitoroli siioni hapo.
Ila 5,6 na 12 💥
 
Duh huu uzi. 😃 nipo hapa naipiga ipasavyo hiyo namba 28
 
Hakuna njia rahisi ya kusoma comment na kupata namba pale juu kwa urahisi bila scrolling kwenda juu
 
Mbingu utaisikia hewani mkuu
 
Eti mliochagua namba mnazifanyia kazi namba hizo usiku huu eti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…