Uwazi uambatane na miiko ya kazi.

Kagondo

JF-Expert Member
Jun 6, 2016
296
79
Katika kila kazi kuna maana yake na malengo yake, hakuna kazi isiyokuwa na maadili, miiko na taratibu zake husika.
KAZI.PNG


Je? kazi zifanyike kwa maslahi ya wanaofanya kazi hizo bila kujali kanuni na miiko ya kazi hizo......
Je? kazi zifanyike kwa kujali wanajamii wanataka ifanyikeje hata kama iko nje ya taratibu na kanuni..........
Au, tuache kazi ziendeshwe katika TARATIBU, KANUNI, MIIKO, MAADILI na VIAPO VYAKE?
 
Back
Top Bottom