FERTILIZER
Member
- Oct 23, 2014
- 60
- 5
Ndugu wapendwa katika bwana,
Ila nina ombi moja kwenu naomba msaa wa kimawazo kwamba hivi nini kinacho sababisha mtu[ mwanamke] anaficha baadhi ya mambo yanayo husu ukweli wamaisha yake.
Kwamfano; mtu alimaliza kidato channe akafeli alafu akaanza tena upya kidato cha kwanza labda unamkuta yuko kidato cha tatu (private) alafu ukimuuliza anashindwa kusema ukweli.
Mungu awabariki sana