Kuna kigezo kimoja au zaid hakipo katika uwanja wa Simba ndio kinachofanya usiitwe arena
Hauna majukwaaaa huo uwanja kwa kigezo Cha arena meaning
Kwahyo mtoa mada Yuko sahihi
Sent using Jamii Forums mobile app
Uliyoyataja yote ndio mikakati ya simba na itawekwa kwahiyo tuliza kalio vzr dawa ikuingie.Sehemu ikipewa jina Arena basi huwezi cheza mpira wa miguu.Arena ni sehemu ilio jengewa kwa kufunikwa,ambapo michezo mingi hufanyika kama basketball,ice hockey,mikutano na matamasha.Na ni sehemu ilo zunguukwa na viti na huchukuwa watu wasio zidi elf 20,Je huo uwanja wetu wa Simba huko Bunju una vigezo hivyo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha mtani!!
Hahahaaa!!! Mtani kwani hayo ya google hayapestiki hapa?Hahaha mtani!!
Mtani Ingia Google umsaidae mwenzio
Haha right angekuwa ni shabiki kindaki ndaki wa soka la ulaya. Hili lisingempa tabu.Hahahaaa!!! Mtani kwani hayo ya google hayapestiki hapa?
Hebu fanya kuyapesti mi ntakuwa mkalimani. 😅😅
Hivyo ni sahihi Uwanja wenu kwa ulivyo sasa kuitwa Arena Mtani? 🤔Asavali huyu jamaa kanisaidia.
Hahahahaa. Naona munajificha kwenye mgongo wa Bayern Munich Mtani.Haha right angekuwa ni shabiki kindaki ndaki wa soka la ulaya. Hili lisingempa tabu.
Simba wekundu bavariani toka mitaa kaskazini mwa jerumani Bayern muchen machinjioni kwao pale agoogle aangalie jina la uwanja.
Tayari tumeanza toka jana mpaka leo jioni tutakuwa tumemaliza according tu msemaji kasema #Antonio Nurgaz.. 😎😎Vipi mmeshaanza wadumbukizia wa kina falcao mishahara yao.
Sehemu ikipewa jina Arena basi huwezi cheza mpira wa miguu.Arena ni sehemu ilio jengewa kwa kufunikwa,ambapo michezo mingi hufanyika kama basketball,ice hockey,mikutano na matamasha.Na ni sehemu ilo zunguukwa na viti na huchukuwa watu wasio zidi elf 20,Je huo uwanja wetu wa Simba huko Bunju una vigezo hivyo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Pale baada ya miaka 3 utapapotea mtaniHivyo ni sahihi Uwanja wenu kuitwa Arena Mtani? 🤔
Iwe ivo mtani msije mkasema iyo 4 January tumewaonea.Hahahahaa. Naona munajificha kwenye mgongo wa Bayern Munich Mtani.
Tayari tumeanza toka jana mpaka leo jioni tutakuwa tumemaliza according tu msemaji kasema #Antonio Nurgaz.. 😎😎
Oooh!! Hivyo Mtani munaelekea kwenye uarena? 😎Pale baada ya miaka 3 utapapotea mtani
Sesten Zakazaka najua huwa hii lugha haikupigagi chenga.An arena is an enclosed area, often circular
or oval-shaped, designed to showcase
theatre, musical performances , or sporting
events . It is composed of a large open
space surrounded on most or all sides by
tiered seating for spectators, and may be
covered by a roof. The key feature of an
arena is that the event space is the lowest
point, allowing maximum visibility. Arenas
are usually designed to accommodate a
multitude of spectators.
According to Wikipedia.
ZINGATIA : An arena is an enclosed area.
At least kuna katafiti kamefanyika. Asante, kwa maana hiyo basi kwa uwanja ulivyo had I sasa siyo arena, lakini wakimaliza ujenzi tutakuwa kwenye nafasi nzuri ya kuwa na tafasiri nzuri juu ya uwanja huo
😅😅😅 Tatizo Mtani nyie ni wepesi wa kupanic.Mivyura unadhani huwa inatumia kichwa kufikiri sasa
Oooh!! Hivyo Mtani munaelekea kwenye uarena? 😎
Mi huyo msanifu wa Uwanja ndio atanifaa kwa majibu ya ukweli hapa na sio hawa ndugu zake na Manara ambao wanaongea kwa hisia tu. 😎😎😎It may be yes or no, mpaka either uwanja uishe au msanifu wa uwanja huo atuthibitishie hapa
Mimi ni nani hata nikubaliane na mtoa mada.