gogo la shamba
JF-Expert Member
- Mar 1, 2013
- 6,669
- 2,165
Nimepata habari kwamba uwanja unaotegemewa kufanyika mkutano wa CHADEMA Mjini Arusha kuna trekta linalima kuashiria kwamba wanataka kupanda majani.
Hii inaweza kuwa njama za kuhujumu mkutano huo kesho, walio karibu na uwanja huo ebu tupeni habari kamili.
Hii inaweza kuwa njama za kuhujumu mkutano huo kesho, walio karibu na uwanja huo ebu tupeni habari kamili.
Baada ya chama kubwa , chama kinachowanyima usingizi CCM na dola hapa Arusha CHADEMA, CCM na ujinga wao ni kweli walienda shule ya Ngarenaro kulima uwanja ili CHADEMA wasipate mahali pa kufanyia mikutano.
Hii ni baada ya serikali ya kifisadi ya CCM kuuza maeneo yote ya wazi.
Ni jambo la aibu na la kijinga lisilo ingia akilini CCM kufanya upuuzi kama huu.
Kama wamechokwa wakubali kwamba wamechokwa siyo kuendelea kufanya mambo tuendelea kujenga hasira kwa watu.
Naambatanisha picha jinsi walivyofanya uwanja wa Shule ya Ngarenaro.
View attachment 250161