"Uwanja wa Kisasa Jangwani"

....mambo ya kuhonga mabasi ili tupate ubingwa hatuyawezi so ligi hailipi tena,tupa kule okwi,kaseja na mamluki wote,vijana sasa ni kuogelea kwenda mbele,....

kama namuona Canavaro akipiga mbizi
 
Kamati ya mbunge wa chalinze itajenga uwanja wa ghorofa!!!

hakawii kuwageuka huyu iwe kama ile hadithi ya mtoto wa kigogo Zenji "Hapa Pangu...:"
 
SIMBA NA YANGA BANA...... Eti Rage nae alikuwa anatuhimiza mashabiki wa Simba twende Bunju na mafyekeo, majembe,sururu kuandaa uwanja wetu... unaweza kupiga mtu kofi hakyanani....:frusty:

siasa ni propaganda mkuu
 
kama namuona Canavaro akipiga mbizi
...kanavaro anajitahidi kidogo, kangasa ndo kabishi vibaya sana kila siku eti kanaikumbuka siku kailiyocheza na rio ferdinand so hakataki kuua ndoto zake....
 
...kanavaro anajitahidi kidogo, kangasa ndo kabishi vibaya sana kila siku eti kanaikumbuka siku kailiyocheza na rio ferdinand so hakataki kuua ndoto zake....

juzi kaling'ang'ania taulo la Ivo ili kawe kanajifutia baada ya mbizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…