Hizi mvua zimefichua mengiView attachment 152182Jangwani mpo? Uwanja ndio huu, utakabidhiwa siku Manji atakapoaga mwezi Juni
Kumbe wanaogeleaga kwenye maji taka
....mambo ya kuhonga mabasi ili tupate ubingwa hatuyawezi so ligi hailipi tena,tupa kule okwi,kaseja na mamluki wote,vijana sasa ni kuogelea kwenda mbele,....ndio maana mmewaacha wachezaji wa simba akina okwi, kaseja etc sbb wao si wazee wa madimbwini
....mkuu mbona hayana tofauti na yale ya coco beach...
Labda ndivyo waonavyo ila pale watu wamezibua vyooo kibao so yale ni maji ya vyoo
Swimming pool hilo.
Waaniazishe mradi wa kufuga samaki itawaingizia mapato.