Uwanja wa hekari 3 unauzwa songea

Uwanja wa hekari 3 unauzwa songea

kupweteka

Member
Joined
Feb 26, 2013
Posts
27
Reaction score
2
Uwanja wa hekari 3 ambao umepimwa na una hati unauzwa,uko songea mjini mtaa wa Ruvuma.
 
Jamani hekari tatu si eneo dogo,maana yake kuna viwanja vya robo heka 12.leo utanunua 30mil mwakani utauza 50mil
 
Jamani nauza/napangisha Nyumba Songea ipo Mkuzo karibu na msamala bei ni maelewano.
Nipigie 0756 303344
Karibu tufanye biashara.
 
Back
Top Bottom