Uwanja wa Fisi - Dar

Alikuwa mwizi hyo usinge bak na kitu mkuu
 
Cjutii wala cjioni mshamba kutoyajua maeneo Kama hayo
 
Ukitokea magomeni kama unakwenda manzese ukipita tu kituo cha Argentina kuna barabara inaingia kulia ambayo inafika mpaka Tandale, ukiifuata tu hiyo hapo mbele kidogo ndo uwanja wa fisi, kama ww ni mtu wa kubeba manyau, hutapata taabu kupafahamu..kila rahel mpiganaji uniletee mrejesho ukifika huko...
 
Muulize DC wa kinondoni juzi alifanya ziara huko ya kimya kimya akadai wadada ni wazuri na wanastyle za kuhama kuhama vyumba ili wateja wapate ladha tofauti

Sijui kama na yeye alihudumiwa maana papuchi inanguvu kuliko smaku
 
Asante kwa maelekezo mazuri mkuu. Mrejesho nitauleta hapa hapa
 
Muulize DC wa kinondoni juzi alifanya ziara huko ya kimya kimya akadai wadada ni wazuri na wanastyle za kuhama kuhama vyumba ili wateja wapate ladha tofauti

Sijui kama na yeye alihudumiwa maana papuchi inanguvu kuliko smaku
Kama ana information zote hizo haina shaka kashapata huduma
 
Dah!! Hatariii, ndio maana pakaitwa hivyo uwanja wa fisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…