yello masai
JF-Expert Member
- Jan 8, 2016
- 3,920
- 4,177
Panapatkana mIzoga ndo mana wamepaita uwanja wa fisiAmani iwe kwenu wakuu...
Tangu nlipokuwa kijijini (home village) huko Manyara nlikuwa nkisikia sana hili jina (uwanja wa fisi).
Nlipokuja Dar nkawa pia nasikia watu wakipataja huko. Nina miaka miwili now hapa mjini lakini sijui ni wapi huko.
Wadau naomba mnijuze.. huko Uwanja wa Fisi ni wapi? Nahitaji kupatembelea.
Je kunapatikana fisi huko kama jina lilivyo au kunapatikana nini huko?
Karibuni.
Wala hujakosea kaka,hapo mizoga imejaa tele,wale waroho wa vitoweo hapo ndipo wanapoponea njaa zao.Panapatkana mIzoga ndo mana wamepaita uwanja wa fisi
Tafuta hela nikupeleke andaa kiingilio.Amani iwe kwenu wakuu...
Tangu nlipokuwa kijijini (home village) huko Manyara nlikuwa nkisikia sana hili jina (uwanja wa fisi).
Nlipokuja Dar nkawa pia nasikia watu wakipataja huko. Nina miaka miwili now hapa mjini lakini sijui ni wapi huko.
Wadau naomba mnijuze.. huko Uwanja wa Fisi ni wapi? Nahitaji kupatembelea.
Je kunapatikana fisi huko kama jina lilivyo au kunapatikana nini huko?
Karibuni.
Ni ukumbi? Je kuna nini?Tafuta hela nikupeleke andaa kiingilio.
Watatujuza labdaPamoja na kuzaliwa na kukulia dar, sijawahi kujua uwanja wa fisi ni wapi.
Ni eneo fulani pale Manzese wanauza ulabu wa kienyeji, nyama zisizoelezeka mapupu, masikio nk, wadada poa hadi shilingi 500 mchana kweupe, starehe zilezile huko kwenu pale zipo kimtindo wake kwa bei poa at your own risk! Pembeni palianzishwa kanisa la walokole.Ni ukumbi? Je kuna nini?
Duh! Maeneo gani ya manzese mkuu? Wengine wanasema tandaleNi eneo fulani pale Manzese wanauza ulabu wa kienyeji, nyama zisizoelezeka mapupu, masikio nk, wadada poa hadi shilingi 500 mchana kweupe, starehe zilezile huko kwenu pale zipo kimtindo wake kwa bei poa at your own risk! Pembeni palianzishwa kanisa la walokole.
Acha vitisho mkuu. Ina maana unafia huko huko?Mkuu ukishapajua nenda mbele pale baresa kulia kama unaenda mjini kuna nyumba za milele tayari waneahakuwekea na mashada kabisa wewe tuu!!!
Nashindwa kukuelekeza, ila huo uchochoro unaenda tokea tandale. Sio barabarani unaingia ndani kidogo pamejificha. Nilibaki hoi pale dada poa aliponifuata na kunisindikiza kule nilikokuwa naelekea na kunibembeleza kunipa menu nanihii STK 500 halafu 0713 buku(1000). .ni hatareeDuh! Maeneo gani ya manzese mkuu? Wengine wanasema tandale