Uwanja unauzwa kwa bei ya hasara Tunduma

Uwanja unauzwa kwa bei ya hasara Tunduma

Noe kidumage

Member
Joined
Aug 25, 2016
Posts
84
Reaction score
25
Kwa wale wakazi wa Tunduma Mbeya. Kuna uwanja mzuri na ulopimwa unauzwa kwa bei ya hasara. Kuna shida mbili tatu zinazofanya niuze.

Mawasiliano +255788927689. Bei tutaongea[emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Huu uzi wako ndio maana watu wanaupita tu, halafu uje useme huna bahati.
Hujasema Kiwanja Ukubwa gani,
Hujasema Tunduma kiko maeneo gani,
Hujasema kama miundombinu ya Umeme na maji ikoje,
Wala bei hiyo unayoiita ya hasara hujaisema,
Yaani kama unauza kiwanja cha wizi vile
 
Huu uzi wako ndio maana watu wanaupita tu, halafu uje useme huna bahati.
Hujasema Kiwanja Ukubwa gani,
Hujasema Tunduma kiko maeneo gani,
Hujasema kama miundombinu ya Umeme na aji ikoje,
Wala bei hiyo unayoiita ya hasara hujaisema,
Yaani kama unauza kiwanja cha wizi vile
Nahis ni tangazo la kipekee zaid kwa mwaka huu.
 
Nahis ni tangazo la kipekee zaid kwa mwaka huu.
Halafu kila mara anapita pita humu kuangalia kama amepata mteja, akiona kimya anaanza kusema ana bahati mbaya
 
Weka hizo taarifa ulizoshauriwa ili tujue kweli ni bei ya kutupa au ni maneno ya kibiashara tu.
 
Back
Top Bottom