Uwanja unauzwa Dar huko kigamboni.

Uwanja unauzwa Dar huko kigamboni.

Eberhard

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2010
Posts
1,151
Reaction score
809
Wakuu, ninauza uwanja Dar. Uko km 23 kutoka kigamboni felly. Ni njia ya kuelekea dsm zoo. Ni mbele kidogo ya dsm zoo. Bei sh 7.5 m. Ukubwa wa uwanja ni nusu heka. Mchanga wa kujengea unapatikana hapo hapo kwenye uwanja. Kaupepo kazuri kutoka baharini. Nina Zile hati za serikali za Mitaa.

karibuni kwa biashara.
 
Back
Top Bottom