kanga
JF-Expert Member
- Jan 13, 2011
- 1,020
- 1,225
Nipeni ABC za kupata uwakala wa kuwa msambazaji na muuzaji wa maji ya Kilimanjaro katika eneo ili la Kanda ya Ziwa.
wadau nipo moja ya Wilaya za pembezoni lakini naona kuna shida ya kupata maji chupa kwa shughuli za matumizi ya majumbani, sherehe na ofisi lakini kuna maji ya kuokoteza tu yasiyo na ubora na viwango vya kuaminika.Wazo na nia kuona kuwa opportunity hiyo mie naweza kuwa wakala wa kuuza na kusambaza maji hayo ya Kilimanjaro katika Wilaya hii na jirani na kupata mkwanja wa wastani.