Uvuvi haramu warejea kwa kasi, Luhaga Mpina alikuwa sahihi

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
43,117
49,840
Uvuvi Haramu Warejea Kwa Kasi Dar, viongozi wapo licha ya Luhaga Mpina kuonya ila alibezwa..

Je wenye dhamana wameshindwa au ni dili zao?

=====

Screenshot 2023-04-10 140502.png


Wavuvi katika soko la samaki Msasani wameiomba Serikali kuingilia kati ili kukomesha uvuvi haramu unaoendelea kwa sasa ambapo wamesema vipo vikundi vya wavuvi ambao wameanza kutumia mabomu na baruti kuvua Samaki.

Hali inayosababisha upotevu wa samaki sokoni lakini pia kuua mazalia ya samaki hao.
 
Uvuvi Haramu Warejea Kwa Kasi Dar, viongozi wapo licha ya Luhaga Mpina kuonya ila alibezwa..

Je wenye dhamana wameshindwa au ni dili zao?

Si mlikuwa na mpango wa kuwaondoa wasukuma wote kwenye madaraka kwamba ni sukuma gang pambaneni na hali yenu.
 
Maafisa uvuvi si wapo na kuna boti za patrol zinapewa mafuta, police marine nao wapo na boti na huo uvuvi haramu unafanyika eneo la karibu sio bahari kuu
 
“Mola wetu yuko karibu ili nimnog’oneze..?? au yuko mbali nimpigie kelele..??"
Yarabi...😔
 
Back
Top Bottom