Uvuvi haramu

LOTH HEMA

JF-Expert Member
Dec 6, 2015
15,809
23,070
Huku tunapoishi huwa tunakumbwa na mafuriko kila mara.Haya mafuriko yanapopita huacha samaki kwenye madimbwi na makorongo.Kabla ya ndege hawajajitwalia kutokana na maji kukauka tunawawahi ili tupate kitoweo na ziada tunauza tupate fedha.Je huu ni uvuvi wa aina gani?
 
Back
Top Bottom