UVUTAJI SIGARA HAD HAPA NI.

congobe

JF-Expert Member
May 31, 2012
561
131
Ikiwa WAZIRI wa Mazingira
umewaza kusimamia sheria kuzuia
Kelele ktk Makazi ya watu.
Ameshindwaje kusimamia Sheria ya
UVUTAJI Sigara ktk mikusanyiko ya WATU !
 
Rais Magufuli ona hii hapa
WAZIRI wa Mazingira asimamii HAPA KAZI TU Inakuwaje bado tunashuhudia disco mitaani mwetu?
Na pia Sigara zinapulizwa popote tu ?
 
Back
Top Bottom