innocentmollel
JF-Expert Member
- Sep 11, 2014
- 1,702
- 750
Kumbe ganja.mm nikajua wanakazana wanaume kwa wanaume maana hyo ndio kitu mbaya ganja aina nooma mm mwenyewe ninavyoandika hii comment nimeshika cha arusha HP napata stimu
Acha unoko wewe...ukitaka wanywe viroba?Leo nimepata bahati ya kutembelea chuo cha elimu ya biashara CBE , Ambacho kinapakana na chuo cha DIT kwa kutenganishwa na ukuta tu. Nimeshuhudia vijana wa DIT Wakiwa makundi makubwa nyuma ya mnara wa simu maeneo ya viwanjani wakivuta bangi bila wasiwasi ndani ya eneo la chuo chao .
Wanafunzi wa CBE wanadai hili swala ni la muda na imekuwa kero kwani Moshi wote unaishia CBE uongozi wa chuo cha DIT Fatilieni jambo hili kama sio wanafunzi kwanini chuo kiruhusu uhuni huu ndani ya eneo lake??
We unaonekana snitch..wacha vijana wavute...Mvuta bangi utamuomba kitambulisho kama upo DIT nenda maeneo niliyotaja utawakuta kibao
Lipi tatizo?Tatizo ni kuvuta bangi ndani ya eneo la chuo
acha uongo wewe...!!!!
Mbona pumba1) Uliwezaje kuwaona wakati kuna ukuta wa fensi tena wa Matofali unaotenganisha DIT na CBE?
2) Je, walikuwa ni Vijana wangapi ambao uliwaona wanavuta bangi?
3) Unawezaje kuthuthibishia kwamba Vijana walikuwa wanavuta bangi na sio kitu kingine?
4) Hao uliowaona wanavuta bangi, walikuwa wanatumia Vifaa gani kuvuta bangi?
5) Naomba utuwekee hapa picha ya uthibisho kamavingenevyo utakuwa unatafuta kiki hapa JF!
Kwani mvuta bangi anakuwaje,acha kasumba za kizamaniMvuta bangi utamuomba kitambulisho kama upo DIT nenda maeneo niliyotaja utawakuta kibao
Kabla hujaandika fanya research kwanza eti wapo ndani ya chuo na mtu mwingine hawezi fika bila kupitia getini.uliambiwa geti la dit linazuia watu wa wasio wanafunzi kupita .alafu unaonekana mwamasu wewe kama siyo wa shinyanga utakuwa bukoba kabisaWapo ndani ya eneola chuo ambapo mtu wa kawaida hawezi fika bila kupita getini