Uvutaji bangi wakithiri chuo cha DIT Dar

Uvutaji bangi wakithiri chuo cha DIT Dar

Mtaje pusha wa pale.
Nakubali kabisa,nilikua nafika hapo 2013 kununua na kuvuta bangi kipindi hicho nipo form 5 ndo najifunza kuvuta bangi
 
Acha umbea. Bangi ni starehe kama starehe nyingine.


Mkuu nimekusikia. Mbunge wetu Msukuma kasema; Its high time the Government iruhusu hiki kitu cha Oldonyo kiruhusiwe hadharani. Ningemwomba atupelekee kahoja binwafusi bunge lijalo.
Engineer bila kitu ya Oldonyo kichwani aweza kuwa mwehu.
 
Dit kuna muingiliano mkubwa sana kati ya wanafunzi na watu wa nje na isitoshe huko mnara wapo wanafunzi wa cbe ambao hukaa nao huko sasa hao waliokuwa wanavuta we umejuaje kama ni wa dit
Tatizo ni kuvuta bangi ndani ya eneo la chuo
 
Hilo ni la kweli nilishawahi kusoma hapo

Ni kweli kabisa
 
Baadae Mainjinia Haohao Wanaovuta Bangi Wanazisaliti Fani Zao na Kujiingiza Kwenye Siasa Tukaishia Kuongozwa Na Viongozi Wavuta Bangi Wakabaki Kutufanyia Maamuzi Ya Kibangibangi.
Hapo naona unamsema mtu, angalia umekaa upande gani..?
 
Wapo ndani ya eneola chuo ambapo mtu wa kawaida hawezi fika bila kupita getini

Kwahiyo wote walioko ndani ya eneo la chuo (ambao wamepitia getini) ni wanafunzi??
 
Acha vijana wale dawa, wenzako wa CBE wamekaa hapo mpakani kwa muda mrefu hawajawahi kulalamika wewe umefika tu juzi unajifanya unajua kuliko uliowakuta? Balance sheet dogo wale msuli wao ni balaa achana nao!
 
Mkuu nimekusikia. Mbunge wetu Msukuma kasema; Its high time the Government iruhusu hiki kitu cha Oldonyo kiruhusiwe hadharani. Ningemwomba atupelekee kahoja binwafusi bunge lijalo.
Engineer bila kitu ya Oldonyo kichwani aweza kuwa mwehu.
acha uongo wewe...!!!!
 
Si wanasayansi hao,utakuwa ndio inaongeza utashi wa kuelewa masomo!!!
 
mtu ana masomo 16 kwa semister halafu ratiba ya pindi class unakuta masomo 10 kwa siku then ratiba ya kujisomea geto usiku masomo 8. Sasa kwa hali hii Ni vizuri ukawaacha tu wajilipue
 
Tunajenga taifa kwa mbao au kwa matofali?

Comments nyingi humu majibu yake yanafanana na= Kama mwisho wa siku tunapata taifa it doesn't matter. Mimi najenga nyumba sio taifa so hao jamaa nawapita tu.

TL; DR mi napita tu

-callmeGhost
 
Leo nimepata bahati ya kutembelea chuo cha elimu ya biashara CBE , Ambacho kinapakana na chuo cha DIT kwa kutenganishwa na ukuta tu. Nimeshuhudia vijana wa DIT Wakiwa makundi makubwa nyuma ya mnara wa simu maeneo ya viwanjani wakivuta bangi bila wasiwasi ndani ya eneo la chuo chao .

Wanafunzi wa CBE wanadai hili swala ni la muda na imekuwa kero kwani Moshi wote unaishia CBE uongozi wa chuo cha DIT Fatilieni jambo hili kama sio wanafunzi kwanini chuo kiruhusu uhuni huu ndani ya eneo lake??
1) Uliwezaje kuwaona wakati kuna ukuta wa fensi tena wa Matofali unaotenganisha DIT na CBE?

2) Je, walikuwa ni Vijana wangapi ambao uliwaona wanavuta bangi?

3) Unawezaje kuthuthibishia kwamba Vijana walikuwa wanavuta bangi na sio kitu kingine?

4) Hao uliowaona wanavuta bangi, walikuwa wanatumia Vifaa gani kuvuta bangi?

5) Naomba utuwekee hapa picha ya uthibisho kamavingenevyo utakuwa unatafuta kiki hapa JF!
 
Back
Top Bottom