Uvutaji bangi wakithiri chuo cha DIT Dar

Uvutaji bangi wakithiri chuo cha DIT Dar

koplo

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2011
Posts
574
Reaction score
153
Leo nimepata bahati ya kutembelea chuo cha elimu ya biashara CBE , Ambacho kinapakana na chuo cha DIT kwa kutenganishwa na ukuta tu. Nimeshuhudia vijana wa DIT Wakiwa makundi makubwa nyuma ya mnara wa simu maeneo ya viwanjani wakivuta bangi bila wasiwasi ndani ya eneo la chuo chao .

Wanafunzi wa CBE wanadai hili swala ni la muda na imekuwa kero kwani Moshi wote unaishia CBE uongozi wa chuo cha DIT Fatilieni jambo hili kama sio wanafunzi kwanini chuo kiruhusu uhuni huu ndani ya eneo lake??
 
Wapo ndani ya eneola chuo ambapo mtu wa kawaida hawezi fika bila kupita getini
 
Dit kuna muingiliano mkubwa sana kati ya wanafunzi na watu wa nje na isitoshe huko mnara wapo wanafunzi wa cbe ambao hukaa nao huko sasa hao waliokuwa wanavuta we umejuaje kama ni wa dit
 
Leo nimepata bahati ya kutembelea chuo cha elimu ya biashara CBE , Ambacho kinapakana na chuo cha DIT kwa kutenganishwa na ukuta tu. Nimeshuhudia vijana wa DIT Wakiwa makundi makubwa nyuma ya mnara wa simu maeneo ya viwanjani wakivuta bangi bila wasiwasi ndani ya eneo la chuo chao . Wanafunzi wa CBE wanadai hili swala ni la muda na imekuwa kero kwani Moshi wote unaishia CBE uongozi wa chuo cha DIT Fatilieni jambo hili kama sio wanafunzi kwanini chuo kiruhusu uhuni huu ndani ya eneo lake??
Vipi umejaribu kufatilia na matokeo yao ukilinganisha na CBE, kujua wapi ni "vichwa"?
 
Hapo panaitwa mnaranii!! utakuta vijana wengi tu wanapata stimu then wanakamua vitini,msuli wa DIT wa module 12 kwa semister smtym hauendi bila vitu hivyo,so waache maengineer wa kesho wapate stimu zao
Kwa hiyo ile concept ya kuwa ukivuta unakuwa mhalifu vijana wanaiprove wrong sio!!
 
Baadae Mainjinia Haohao Wanaovuta Bangi Wanazisaliti Fani Zao na Kujiingiza Kwenye Siasa Tukaishia Kuongozwa Na Viongozi Wavuta Bangi Wakabaki Kutufanyia Maamuzi Ya Kibangibangi.
 
Kuvuta bangi ni sehemu ya maisha hususani kwa wanafunzi wa technical collages, hakuna jinsi hapo mkuu wewe endelea na maisha yako.
 
Ivi kuna tofautu kati ta Dar Tech na iyo ya kuitwa DIT maana kuna dogo kaniambia anasoma Dar tech

Nb aulizae anapenda kujua
 
Kichwa cha habari kinaelekeza kuwa uvutaji umekithiri, lakini kwenye maelezo unasema ni leo ndio umebahatika kupita maeneo hayo, kukithiri kumekujaje tena hapo mahali pageni kwako.
Hata kama wanavuta lakini kusema wamekithiri ni kuwapakazia madogo.
 
Leo nimepata bahati ya kutembelea chuo cha elimu ya biashara CBE , Ambacho kinapakana na chuo cha DIT kwa kutenganishwa na ukuta tu. Nimeshuhudia vijana wa DIT Wakiwa makundi makubwa nyuma ya mnara wa simu maeneo ya viwanjani wakivuta bangi bila wasiwasi ndani ya eneo la chuo chao .

Wanafunzi wa CBE wanadai hili swala ni la muda na imekuwa kero kwani Moshi wote unaishia CBE uongozi wa chuo cha DIT Fatilieni jambo hili kama sio wanafunzi kwanini chuo kiruhusu uhuni huu ndani ya eneo lake??
Nakubali kabisa,nilikua nafika hapo 2013 kununua na kuvuta bangi kipindi hicho nipo form 5 ndo najifunza kuvuta bangi
 
Back
Top Bottom