Uvumilivu unaelekea kunishinda!

Mi ninayo laki 6 tunafanyaje?
Nataka nikusaidie kukuondolea ugwadu ila sina shida ya mahusiano mana nina ndoa so chakufanya tafuta laki tano ukipata nishtue nije nikupe show moja ya kibabe kwa siku moja tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji251]
 
Hivi wewe unataka kumsubiri mtu miaka 2 ???? Hiyo haiwezekani asilani kwa mtu rijali ,,,,,,hata week 2 ni ngumu sana.Tafuta msichana wa kula nae upepo wa muda mfupi usije kuwa kichaa bure kwa kuteseka na hamu ya ngono.
 
Hivi wewe unataka kumsubiri mtu miaka 2 ???? Hiyo haiwezekani asilani kwa mtu rijali ,,,,,,hata week 2 ni ngumu sana.Tafuta msichana wa kula nae upepo wa muda mfupi usije kuwa kichaa bure kwa kuteseka na hamu ya ngono.
Sawa mkuu
 
Endelea kuvumilia akati mwenzio Anapewa vitu huko

Sawa sawa mwenzie anakazwa yy anajiwekea ujinga apige hata nyeto basi au kama kuna msichana anaweza kukaa nae kwa muda ajitokeze aisee dah natamani mwenye post hii angekua demu mi binafsi ningejitoa muhanga
 
Kuna ule usemi wa "mvumilivu hula mbivu" angalia mkuu, usijekula zilizo oza mkuu,pia sidhani kama kuna mwanamke anaweza kubali akawa na mahusiano ya muda mfupi huku akijua yupo mwanamke uliye na malengo naye,labda awe kimaslahi zaidi...................................................Mapenzi si ya mchezo unaweza anzisha mahusiano ukiamini ni ya muda mfupi matokeo yake ukajikuta una fall in love,na kumsahau huyo unayehisi ndo chaguo lako,au ikawa ndo mwanzo wa mchepuko baada ya kumuoa huyo mtarajiwa.
 
Asante! Kwa ushauri mkuu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…