Uvumilivu una mwisho wake jaman!

Uvumilivu una mwisho wake jaman!

MSWATI III

Member
Joined
Nov 16, 2010
Posts
90
Reaction score
63
Ijumaa kareem wadau! Kuna jamaa yangu alikutana na binti wa kisukuma kwenye bendi ya Akudo Impact. Wakapeana namba za simu tu usiku ule kwa sababu binti hakuleta ushirikiano wa kutosha pamoja na juhudi za huyu ndugu yangu kutoa offer. Baadae walianza kuwasiliana on & off na binti akawa anamzingua mshikaji sana, ahadi kibao za kuonana likin demu akawa anabadili mawazo last minute. Baada ya mwezi mmoja demu akaanza kujirudu na kutoa ushirikiano wa kutosha. Till this moment hawa watu ni wapenzi na muda mwingi huyu demu analala kwa mshikaji. Jamaa yangu kaja kwangu na kuomba nimshauri juu ya mambo kibao. Anadai kila kukicha anazidi kugundua kua huyu binti hajatulia kwa sababu zifuatazo: 1. Huyu binti bado anawasiliana na x boyfriend wake na hataki kuacha. 2 . Kapata mimba kasha kaitoa kisiri ila jamaa kashtukia baada ya kusoma sms kutoka kwa rafikie aliemsaidia kutoa hio mimba na vile vile demu alianza kulalamika maumivu ya tumbo na kutokwa na damu nyingi. Jamaa alivyombana akakiri kua ametoa mimba. 3. Huyu demu ana tabia ya kurudi nyumbnani kwake/ au kwa mshikaji usiku sana ( saa nne/ tano/sita/saba usiku) akidai kua kuna biashara anafanya na shoga zake. 4. Huyu binti anapenda kutoka out sana na shoga zake na hapendi jamaa awepo. 5. Jamaa yangu ana usafiri mzuri tu, ila kila siku wakiwa pamoja demu hataki kukaa sit ya mbele bali anadai anapenda sit za nyuma (nb: gari iko tinted). 6. simu zote za huyu demu zina passwords na anakua busy hadi mida ya usiku na marafiki zake wengi ni wanaume. 7. Huyu demu haoni aibu kumwambia mshikaji idadi na status za wanaume ambao ametembea nao kabla yake, yaan ni majanga tupu! etc etc etc. Mie binasfi nmemshauri jamaa yangu kua ameingia choo cha kike na ajipange kufa na pressure kama hatoachana na huyu binti. Mbaya zaidi huyu binti kapata mimba nyingine na anaitumia kama sababu ya msingi ya kutoachana coz binti anatishia kujiua na ameshawahi kumueleza jamaa kua anaijiwa na mawazo ya kujiua mara kwa mara, in that case jamaa anaogopa kumuacha binti kisa anaweza jiua. Naombeni ushauri wenu wadau. Jion njema
 
... alikutana na binti wa
kisukuma kwenye bendi ya Akudo
Impact.

...poleni sana!
 
Namshauri....abomoe hyo nyumba aliojenga na msingi wa mchanga...ajenge nyingne yenye msingi wa mwamba...amebugi

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Kwani wamegandishwa na super glue?

Kama hana furaha na mahusiano si atafute ustaarabu mwingine tu...!!!
 
Ananikumbusha demu mmoja alikuwa demu wa mshkaji wangu. Mshkaji wangu aliingia choo cha kike.

Mwambie mshkaji hivi Tigga Mumba anakwambia ukapime UKIMWI, ukikutwa negative usifanye nae ngono baada ya miezi mitatu kapime tena. Ukikutwa negative ACHANA NAE.

Mchakato wa kuachana nae aanze SASA HIVI!!
 
Sasa hapo tumshauri nini?mambo yote hadharani demu sio kicheche kwanza walipima ùugonjwa wa kisasa?
 
that is an impact si mlikutana kwa akudo impact
 
1. Huyu binti bado anawasiliana na x boyfriend wake na hataki kuacha.
. 2 Kapata mimba kasha kaitoa kisiri ila jamaa kashtukia baada ya kusoma sms kutoka kwa rafikie aliemsaidia kutoa hio mimba na vile vile demu alianza kulalamika maumivu ya tumbo na kutokwa na damu nyingi. Jamaa alivyombana akakiri kua ametoa mimba.
3. Huyu demu ana tabia ya kurudi nyumbnani kwake/ au kwa mshikaji usiku sana ( saa nne/ tano/sita/saba usiku) akidai kua kuna biashara anafanya na shoga zake.
4. Huyu binti anapenda kutoka out sana na shoga zake na hapendi jamaa awepo.
5. Jamaa yangu ana usafiri mzuri tu, ila kila siku wakiwa pamoja demu hataki kukaa sit ya mbele bali anadai anapenda sit za nyuma (nb: gari iko tinted).
6. simu zote za huyu demu zina passwords na anakua busy hadi mida ya usiku na marafiki zake wengi ni wanaume.
7. Huyu demu haoni aibu kumwambia mshikaji idadi na status za wanaume ambao ametembea

Khaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!

Huyo jama yako ni wakuchapwa viboko kwa kutuaibisha wanaume
Anashindwaje kuwa MWANAUME hapa?
 
Ijumaa mubarak ndugu yangu,
Huyo mwanamke hafai yaani ni wakukaa mbali nae kabisaaa maana atakuja kumpa UKIMWI jamaa yako since amedai ana ujauzito wake maana yake wanaenda KAVUKAVU...Tena mkalishe chini umueleze kwa marefu na mapana kama anataka mwanamke atampata tu awe na subira lakini huyo si mwanamke wa hadhi yake.Yanayosababisha niseme niloyasema kutokana na maelezo yako
1.Keshaonesha ishara zote kwamba si mkweli ni muongo alopindukia
2.Hana mapenzi nae,yupo nae kimaslahi au kwasababu nyingenezo kwasababu ana mawasiliano na ex wake,isitoshe hamshirikishi kwenye mienendo yake.
3.Hamuheshimu na hajiheshimu kwasababu mwanamke mwenye heshima anakuwa na staha kuhusu mambo ya maex´s zake.
4.Ni malaya awe makini kuletewa magonjwa ya zinaa pamoja na HIV,kama amemletea mimba sio yake na mpaka akaitoa ategemee worse case scenario.
Kama huyo mwanamke amedai ana ujauzito wa jamaa(which i doubt 100%) akubali kushirikiana nae katika malezi na progress za huo ujauzito na pindi mtoto akizaliwa apimwe kama ni wake au lah.
Namshauri akapime UKIMWI!!!
 
Khaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!

Huyo jama yako ni wakuchapwa viboko kwa kutuaibisha wanaume
Anashindwaje kuwa MWANAUME hapa?
Nimekukubali Eiyer umemchambulia vizuri sana mistari hapo...
 
Last edited by a moderator:
Daaah! Hivi bado kuna wanaume wa dizaini hiyo hapa duniani? Kweli bwabwa! Yani huyo jamaa yako bwabwa!! Isitoshe hata hiyo mimba c ya jamaa yako!! Kaula wa chuya!! Tena mbiichii!! inamana nawewe ulikuwa wapi hadi huyo jamaa yako anaharibikiwa hvyo? Mwambie amuache kama mimba atalea akiwa kwao akijiua c ndo vzuri atakuwa amempunguzia presha! Loh!
 
Yaani huwa nashangaa, inakuwaje mtu unashindwa kumbaini mwanamke/mwanaume tapeli. Mawasiliano yanakuwa magumu kati yenu, hawi huru, ana safari ambazo hazieleweki na wakati mwingine anaweza asikwambie anakokwenda etc
Yaani dalili zote ulizozielezea ni za mtu ambaye ni tapeli. Namshauri aachane naye hafai.
 
In short huyu ndugu yangu sio mtu wa mademu kivile and he has very minor experience ya mahusioano! Kuna mambo mengi sana amenisimulia juu ya huyu dada . Nimejaribu sana kumshauri na nashukuru sana wadau kwa ushauri wenu coz ntaufikisha kwa mhusika kama ulivyo esp swala zima la kupima UKIMWI. (NB: Ni binti mrembo sana na nilivyomuona nilikubali kua Mungu kampendelea, ila vitendo vyake havivumiliki hata kidogo).
 
Back
Top Bottom