Uvumi wa nabii suguye kulishwa sumu.

Uvumi wa nabii suguye kulishwa sumu.

Ruach

Member
Joined
Jun 8, 2013
Posts
31
Reaction score
15
Chanzo gazeti la uwazi

Wakuu kuna uvumi unaodai kwamba nabii suguye kalishwa sumu.

Habari nimeiona gazeti la uwazi japo huwa siamini habari za sensational newspapers ila nilitaka kujua zaidi kama kuna eye witness.

Yehoshua Hamochiah
 
Sipendi hili neno sikuhizi"NABII"coz linatumika vibaya.Kila mmoja anajiita nabii,leo nabii huyu,mara nabii Ruach,na kesho tutasikia nabii Bujibuji,nabii Heaven on earth.nk,yoote tu ikiwa ni njia yakujipatia yakujipatia pesa bila jasho,kutegemea sadaka za wajinga waliwao.
 
Eti Nabii Suguye!kama yeye ni nabii kwann asingejiepusha na janga hilo?yeye anakipawa cha kutabiri mambo yajayo,kwan hakuliona hili?MWIZI MKUBWA!
 
Cruel mpole usije ukawa kati ya wale wasiyo na baadae kwenda kupiga magoti kuomba msamaha.
Kwani Mungu akimuita mtu kuwa nabii huwa anakuja kukuomba ushauri? Unatumia vigezo gani kuupinga unabii wake?

Isije kukupata yaliyowapata Miriam na Haruni

Yehoshua Hamochiah
 
Kwa karne hii tuliyonayo hakuna nabii yeyote hapa Duniani, hao ni wachungaji tu
 
Eti Nabii Suguye!kama yeye ni nabii kwann asingejiepusha na janga hilo?yeye anakipawa cha kutabiri mambo yajayo,kwan hakuliona hili?MWIZI MKUBWA!

Nafurahi sana baadhi ya wakristo kuanza kujua na kuchukia utapeli huu.Mtu anajipachika unabii.walokole wanauvuruga ukristo.
 
Chanzo gazeti la uwazi

Wakuu kuna uvumi unaodai kwamba nabii suguye kalishwa sumu.

Habari nimeiona gazeti la uwazi japo huwa siamini habari za sensational newspapers ila nilitaka kujua zaidi kama kuna eye witness.

Yehoshua Hamochiah

Jina lake ni nabii au anajifanya ni nabii wa Mungu? Kama anajifanya ni nabii wa Mungu basi hajalishwa sumu ila kavumisha tu ila apate umaarufu na kusingizia watu ubaya ili ale sadaka za wajinga peke yake.
 
Kwa karne hii tuliyonayo hakuna nabii yeyote hapa Duniani, hao ni wachungaji tu

Statement yako mkuu sio ya kweli, manabii wapo na wataendelea kuwepo hadi Yesu Kristo atakapokuja tena kwa sababu unabii ni moja kati ya huduma tano ndani ya kanisa. Refer Waefeso 4: 11 - "Naye alitoa wengine kuwa mitume, na wengine kuwa manabii; na wengine kuwa wainjilisti na wengine kuwa wachungaji na waalimu;"
 
Mimi nabii samweli ndo ananistaajabisha jinsi alivyomchinja yule mtu kama anachinja kuku.
 
Wengine wanasema eti Yesu Kristo alipokuja alifunga ofisi ya Unabii na pia baadae ya utume na unabii ibakia karama tu ambayo kila mwamini anayo,

Nikajiuliza kama ilifungwa vip kuhusu nabii Yohana aliyeandika kitabu cha Ufunuo?

Je vipi kina nabii Agaba katika matendo ya mitume?
 
Cruel mpole usije ukawa kati ya wale wasiyo na baadae kwenda kupiga magoti kuomba msamaha.
Kwani Mungu akimuita mtu kuwa nabii huwa anakuja kukuomba ushauri? Unatumia vigezo gani kuupinga unabii wake?

Isije kukupata yaliyowapata Miriam na Haruni

Yehoshua Hamochiah

Na unajuaje kuwa kaitwa na Mungu.!?? mtahukumiwa kwa kumsingizia Mungu.
 
Nabii anaabudu ktk siku ya jua SUNDAY?. haita tokea. Mpu.mba.vu. tu huyo
 
manabii wengi wa uongo watatokea..kutakuwa na dhiki kuwa siku hiyo je amsadiki kuwa mwana wa adamu yu haja basi kesheni mkisali maana amjui siku wala saa

#Zitto
 
Swali-
1.Nabii ni nani?

2.Sifa za unabii ni zipi?

3.Injili na Qur'an imesemaje kuhusu unabii na manabii?
 
Back
Top Bottom