UVUMBUZI WA NAMNA YA KUTAFUTA ENEO LA DUARA

nkullusi

New Member
Sep 19, 2012
1
0
Kwa kutumia kanuni hii 3(A/r)4-32(A/r)-192=0 ikiwa A=Eneo la Duara na r=Nusu kipenyo cha duara,

Inawezekana kabisa kukokotoa eneo la duara bila kutumia mfumo wa namba pi ulizoeleka miaka mingi.
 

Attachments

  • Pi issues.pdf
    197.6 KB · Views: 157
Mkuu mbona hapo ukimake equation unapata jibu hasi..Umeufanyia uhakiki huu uvumbuzi?
 
Back
Top Bottom