Hata huyo Mungu haiwezekani atokee kwa bahati mbaya tu.Kadri ninavyosoma ndio ninavyopata uthibitisho wa nguvu asilia(mungu) hivi vitu siamini kama vimetokea kwa bahati mbaya, vilipangwa vikapangika kwa utaalamu wa hali ya juu mnoo.
Energy imetokea wapi mkuu!?Hata huyo Mungu haiwezekani atokee kwa bahati mbaya tu.
Kama haiwezekani vitu kutokea kwa bahati mbaya, Hata huyo Mungu haiwezekani atokee kwa bahati mbaya tu.
Mungu huyo lazima awe amepangwa na kupangika vilevile kwa utaalamu wa hali ya juu pia.
You cannot exclude huyo Mungu kwenye logic hii.
dah mkuu una detector ya kuangalia ni jukwaa gani wanasema mungu yupo maana huwa unafika mapema mno pahali ambapo kutakuwa na statement ya kuwa Mungu yupoπππ aya bwana ila usimlete na kiranga humu πππHata huyo Mungu haiwezekani atokee kwa bahati mbaya tu.
Kama haiwezekani vitu kutokea kwa bahati mbaya, Hata huyo Mungu haiwezekani atokee kwa bahati mbaya tu.
Mungu huyo lazima awe amepangwa na kupangika vilevile kwa utaalamu wa hali ya juu pia.
You cannot exclude huyo Mungu kwenye logic hii.
Hatuwezi kujua tusivyo vijua ila tunaendelea kupunguza tusivyo vijua kwa utafiti, uchunguzi, udadisi na majaribio zaidi.Toka miaka ya 1700s tumekuwa tukifundishwa ya kuwa mwanga wa jua unatengeneza hewa ya oxygen kupitia photosynthesis, mfumo muhimu wa kiasilia unaofanya maisha ya dunia kuendelea kuwepo, mimea kama algae na baadhi ya backteria hufyonza mwanga wa jua na kubadilisha carbondioxide na maji kuwa oxygen na glucose, kiufupi nature hutumia mwanga kama mafuta kwa ajili ya kuzalisha hewa ya oxygen tunayovuta na maisha yanazidi kusonga hapa duniani,
Exploration iliyofanyika kwenye maeneo yaitwayo clarion clippertone zone ambapo makampuni ya uchimbaji madini chini ya bahari hutafuta rasilimali metali kama Cobalt na Nickel wamegundua vinundu vya ferromanganese vikiwa vimekaa chini ya bahari sehemu ambapo hata mwanga wa jua haufiki.
View attachment 3231759
Vinundu vya ferrromanganes ni kama mawe ya hazina yaliyotulia chini ya bahari yakibeba metali kama Iron na Manganese. Inasemekana Vinundu hivyo vimetengenezwa taratibu miaka million iliyopita kama madini. chukulia Kama vile vitungua vya kwenye maji ambapo kila layer huongeza madini zaidi na kutengeneza vitu vyenye umbo la duara.
Reseachers wanasema vinundu hivyo vinaweza kutengeneza Electric charges ambazo huchocheza electrolysis, hutengeneza hydrogen na oxygen
Inasemekana hali hii hutengeneza energy ya kutosha kuweza kutenganisha molucules za maji na kuwa oxygen na hydrogen ikiwa ni chini ya bahari mahali ambapo hata mwanga wa jua haufiki ili kusaidia mfumo wa photosynthesis. Kutokana na hali hiyo wana sayansi ikabidi waipe jina la dark oxygen.
Hali hii inaipa challenge uelewa wa zamani ya kuwa oxygen yote kwenye dunia huzalishwa kupitia mfumo wa photosynthesis kupitia kwenye mimea kama algae.
Kwa nini unadhani kila kitu lazima kiwe kimetoka sehemu fulani?Energy imetokea wapi mkuu!?
Superior inaweza kuwa ulimwengu wenyewe.Hata ukisema huyo mungu anamuanzilishi wake, lazima tu huu mtiririko utafikia kwemye superior, the most completed. Hili halikwepeki, yupo huyo mwamba.
Hii kwamba atokee tu,atokee kutoka wapi ?Hata huyo Mungu haiwezekani atokee kwa bahati mbaya tu.
Mungu alikuwepo kabla ya kutokea,maana kabla ya kutokea maana yake kuna sehemu alikuepo.Kama haiwezekani vitu kutokea kwa bahati mbaya,
Kuna ile logic ya kuwa energy can neither be created no destroyed,hii logic inasapoti kabila umilele wa Mungu tangu na tangu.You cannot exclude huyo Mungu kwenye logic hii
Hata ulimwengu upo wenyewe tu.Hii kwamba atokee tu,atokee kutoka wapi ?
Huko ambako alikuwepo kabla ya kutokea maana yake si alikuwa yupo huko,sasa maana yake si alikuepo bado ?
Energy sio Mungu.Mungu alikuwepo kabla ya kutokea,maana kabla ya kutokea maana yake kuna sehemu alikuepo.
Kuna ile logic ya kuwa energy can neither be created no destroyed,hii logic inasapoti kabila umilele wa Mungu tangu na tangu.
Mungu hajawahi kuwepo, hayupo na hatakaa awepo.hivyo kuna maeneo hatuwezi kuweka conclusio ya vitu viwili kwa kutumia logic moja.
logic ya vitu kuumbwa na mungu hatuweI kuitumia kusema kwamba Mungu naye ameumbwa.
Sisi binadamu tumekuwa bind na knowledge tuliyonayo. Ni kama vile ni ngumu ku imagine sehemu ambayo dimension yake hakuna juu bali ni chini tuHii kwamba atokee tu,atokee kutoka wapi ?
Huko ambako alikuwepo kabla ya kutokea maana yake si alikuwa yupo huko,sasa maana yake si alikuepo bado ?
Mungu alikuwepo kabla ya kutokea,maana kabla ya kutokea maana yake kuna sehemu alikuepo.
Kuna ile logic ya kuwa energy can neither be created no destroyed,hii logic inasapoti kabila umilele wa Mungu tangu na tangu.
hivyo kuna maeneo hatuwezi kuweka conclusio ya vitu viwili kwa kutumia logic moja.
logic ya vitu kuumbwa na mungu hatuweI kuitumia kusema kwamba Mungu naye ameumbwa.
Mimi sina tatizo na usemi huu hata kidogo(haina maana nauamini).Hata ulimwengu upo wenyewe tu.
kama ambavyo ulimwengu haikuumbwa na yeyoye yule basi ujue na Mungu naye hakuumbwa na yeyote yule,yupo tu.Haukuumbwa na yeyote wala kutokea kokote.
Hii ni kanuni ya sisi tunaomkubali Mungu,kama unaitaja kanuni hii basi ibadi uwe Muadilifu wa kuitaja kanuni yoote kwa ujumla ambayo inasema "Kila kitu kimeumbwa na Mungu isipokuwa Mungu mwenyewe"Kama kila kitu lazima kiwe kimeumbwa na muumbaji au kutokea sehemu fulani
ππ energy sio Mungu,je maana yake unatuambia kwamba logic ya energy itumike kwenye energy na sio tuitumie kuthibitisha vitu vingine.Energy sio Mungu.
Yes mkuu.Sisi binadamu tumekuwa bind na knowledge tuliyonayo. Ni kama vile ni ngumu ku imagine sehemu ambayo dimension yake hakuna juu bali ni chini tu
Ulimwengu upo na unathibitishika upo.Mimi sina tatizo na usemi huu hata kidogo(haina maana nauamini).
kama ambavyo ulimwengu haikuumbwa na yeyoye yule basi ujue na Mungu naye hakuumbwa na yeyote yule,yupo tu.
hapo nadhani tunaenda pamoja kwa kutumia logic hiyo.
Kanuni hii ni kanuni uchwara.Hii ni kanuni ya sisi tunaomkubali Mungu,kama unaitaja kanuni hii basi ibadi uwe Muadilifu wa kuitaja kanuni yoote kwa ujumla ambayo inasema "Kila kitu kimeumbwa na Mungu isipokuwa Mungu mwenyewe"
Hakuna Mungu aliyeumba kitu chochote kile.au "Mungu kaumba kila kitu,kwa maana hiyo Mungu sio katika vitu vilivyoumbwa.
Udhaifu wa hii kanuni yako, unaanza kwa kushindwa kuthibitisha uwepo wa huyo Mungu.ili tuone udhaifu wa kanuni yetu hii,basi ni lazima uitaje kanuni yetu yooote alafu kutokea kwenye uwote wa kanuni hiyo ndio uanze kuonesha udhaifu wa kanuni hiyo.
Na wewe anza kwanza kwa kuthibitisha uwepo wa huyo Mungu.Usichukue nusu kanuni alafu ukaanza kuitia madhaifu,imalize kanuni mkuu alafu uanze kuomesha udhaifu.
Udhaifu unaanza kwa kushindwa kuthibitisha uwepo wa huyo Mungu.Kauni yetu tunasema "KILA KITU KIMEUMBWA NA MUNGU,ISIPOKUWA MUNGU(hajaumbwa)".
Anzia hapo kuonesha udhaifu.
Sikusema Energy na vitu vingine havihusianiππ energy sio Mungu,je maana yake unatuambia kwamba logic ya energy itumike kwenye energy na sio tuitumie kuthibitisha vitu vingine.
Kila kitu ni energy.Basi hali kadhalika, tusiitumie kwa Mungu ile logic ya vitu vingine kuumbwa,kwa sababu logic hiyo haimhusu Mungu bali imavihusu vitu vingine kama ambavyo logic ya wnegry inamhusu energy peke yake.
Kila kitu ni energy.ukitumia logic ya vitu vingine kuumbwa basi na mimi natumia logic ya energy.
kama unanikataza kutumia logic ya energy kwa Mungu,basi na wewe umeshajikataza kutumia logic ya "vitu vingine kuumbwa na mUngu"
Jambo likishafikirika lipo. Imagination ni sehemu ya ulimwengu.Hata ulimwengu upo wenyewe tu.
Haukuumbwa na yeyote wala kutokea kokote.
Kama kila kitu lazima kiwe kimeumbwa na muumbaji au kutokea sehemu fulani, Hata huyo muumbaji na hiyo sehemu fulani lazima viwe vimeumbwa na kutokea sehemu nyingine fulani.
Unless otherwise, Hakuna muumbaji wala hiyo sehemu fulani.
Energy sio Mungu.
Kuhusisha energy na Mungu ni kufanya logical fallacy ya non-sequitur.
Mungu hajawahi kuwepo, hayupo na hatakaa awepo.
Mungu ni dhana ya kufikirika tu.
Kama jambo likishafikirika lipo, Kwa hiyo nikisha fikiria uwepo wa Dragons π watemao moto midomoni mwao, Automatically wanakuwa tayari wapo?Jambo likishafikirika lipo. Imagination ni sehemu ya ulimwengu.
For sureKadri ninavyosoma ndio ninavyopata uthibitisho wa nguvu asilia(mungu) hivi vitu siamini kama vimetokea kwa bahati mbaya, vilipangwa vikapangika kwa utaalamu wa hali ya juu mnoo.
Something went wrong in your headHata huyo Mungu haiwezekani atokee kwa bahati mbaya tu.
Kama haiwezekani vitu kutokea kwa bahati mbaya, Hata huyo Mungu haiwezekani atokee kwa bahati mbaya tu.
Mungu huyo lazima awe amepangwa na kupangika vilevile kwa utaalamu wa hali ya juu pia.
You cannot exclude huyo Mungu kwenye logic hii.
Watu kama hawa ndo wanaongoza kulia na kusaga meno motoni huku wakiomba warudishwe duniani japo sekunde 10Hata ulimwengu upo wenyewe tu.
Haukuumbwa na yeyote wala kutokea kokote.
Kama kila kitu lazima kiwe kimeumbwa na muumbaji au kutokea sehemu fulani, Hata huyo muumbaji na hiyo sehemu fulani lazima viwe vimeumbwa na kutokea sehemu nyingine fulani.
Unless otherwise, Hakuna muumbaji wala hiyo sehemu fulani.
Energy sio Mungu.
Kuhusisha energy na Mungu ni kufanya logical fallacy ya non-sequitur.
Mungu hajawahi kuwepo, hayupo na hatakaa awepo.
Mungu ni dhana ya kufikirika tu.