Uvivu

DaveSave

JF-Expert Member
Joined
Nov 20, 2010
Posts
444
Reaction score
654
Mtihani wa Kiswahili wanafunzi wameambiwa waandike
insha, kichwa cha insha "Uvivu ni nini?". Dogo
kachukua karatasi 5 za kuandika majibu kazibana
pamoja, kaandika jina mwanzo, karatasi 3 karuka bila
kuandika kitu, ile ya mwisho chini kabisa akaandika,
"Uvivu ndio huo".

Kakosea?
 
Yaaani dogo ni mvumbuzi mkubwa maana najua hapo kwa uvivu wa mwalimu wake hata fungua karatasi za mbele
 
Hajakosea hata kidogo

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…