Uvimbe wa miguu..

loupa

Senior Member
Jul 22, 2016
124
78
Msaada anayejua kuvimba miguu kunasababishwa na nn na tiba yake ni ipi.
 
Pole mkuu...
Nadhani ukosefu wa madini ya sulphur na calcium!!!

Kula viazi vitamu(yam) pia pata na dawa,vizuri kwenda kwa daktari..

Kama nimekosea mtanikosoa!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom