Habar za wikend wapendwa? Niliwah kuumia mgongoni mwaka juz mti ulinigandamiza mgongoni kwenye uti WA mgongo toka wakat huo nimekuwa na maumivu na nimepiga xray ila haikuonesha tatzo nikapewa dawa tu pia nimepima ESR inaonesha Kuna uvimbe nikapewa diclofenal gel na tablets zake ila bado maumivu hayaishi swali ni je dawa gan nitumie inayoweza ondoa uvimbe huo na kupona kabisa? Nategemea sana mawazo yenu sina aman kabisa