Habari wote.
Naomba kujuzwa kitaalumu kuhusu uvimbe kwenye mfuko wa uzazi,nina mpenzi ambaye mara kadhaa mimba zimekuwa zikitoka na alipoenda kipima akaambiwa kuwa ana uvimbe kwenye mfuko wa uzazi, naomba kujua kama kwa hili tatizo huyu mpenzi wangu anaweza shika mimba na akazaa, mana nimeingiwa na hofu sana.
naomba mwenye kujua hii kitu anieleze kwa kina mana mimba kidhaa zimeshatoka hapa nilipo nimekata tamaa sidhani kama uyu mtu atakuja kupata mtoto.
naomba sana maelezo ya kutosha kutoka kwa anayelifahamu ili tatizo kwa kina
Asanteni