UVCCM yamvaa Lowassa, wasema watamnyosha


Ni ajabu sana kama siyo Ajenda halafu bado unataja jina hilo. Huko ni kuweweseka
 
Team Lowassa wamejaa ndani ya UVCCM wanatuletea taarifa ya kila kinachoendelea sambamba na taarifa za mafisadi yote ya ccm.
 
Hawajui kuwa richmond wanae huko ccm, akamletaga mwarabu mmoja ili ajisafishe but watz wakakomaa mbona hatujamsikia tena, na huu mwaka mtafurahi..!!
 
uandishi ni taaluma ngumu sana nimeamini.
yaan mkuu acha, si ajabu ukute na yeye ana kadigrii kake!!!

elimu ya sekondari za kata za ccm ni majanga. mtu anaandika kaa bata ana.k.u.nya
 
Shaka Hamdu Shaka (MNEC)?????????????? yaani wewe hujielewi kabisaaaa, yaani mnajiona nyie mafisadi ndo mna hati milki ya kuwepo Magogoni ,

Jiangaeni kisikologia msije mkatulilia kama mtoto aliye achishwa nyonyo
 

Ukisika uvccm ina maana ya uzawa wa vigogo wa ccm, hala hawa makalio wanaota ndoto za mchana kweli, yaani mlishindwa kumnyoosha alipokuwa ccm mtaweza kumnyoosha akiwa ukawa?
 
Viroba na ganja mbaya sana stimu haitoki masaa 56
 
Huwezi kuanza kumnyoosha Edward Lowassa pasipo kumnyoosha Mwenyekiti wenu Jakaya Kikwete kwanza!

So, the game you are trying to play it may turn a fire to hurt yourselves!
 
Ukweli lowasa amewavuruga wamevuruguka wanatoa matamko kila siku wakati mkuu wa kaya anakata rumba na wasanii
 
sasa kama ni kweli mnavyosema..'Lowasa si ajenda tena ndani ya CCM, na kwamba hamna cha kupoteza, kwa kuondoka kwake...' mbona bado mnamongelea sana???? hapo kwenye taarifa yenu mmemtaja mara kadhaa...! vipi nyie..??
 
Shaka Hamdu Shaka(MNEC) pole maana wengi humo wanalala CCM wanakula UKAWA poleni....Mmeshawakosa.........

Yaani kama vijana wenzako Mwili upo CCM AKILI,ROHO,MOYO viko kwa LOWASSA basi ujue mmeshaumia..........Safari hii mpaka kimatumbi mtaongea.
 
Hao UVCCM hawajui wanachofanya.

Wanalishwa maneno kama kasuku wanapayuka.

Eti wanaleta story za long sijui 1984 .

Karibu zaidi ya nusu ya wapiga kura , walikuwa hawajazaliwa na hizo story za long hazina maana kwao.

Mazingira ya wakati ule na sasa kwanza tofauti kabisa.

Kumfungia Mzee Jumbe kule Kigamboni ndio CCM wanajivunia?


Kwanza , hao magamba mbona hawajibu moto moja kwa moja na wanaachia hao watoto kujibu.
kwa vile hata ndani ya magamba, wanajua nchi inachukuliwa , kwa kuogopa matokeo wanaweka akiba ya maneno.

Hawana hoja, kilichopo CCM si kuondoka kwa mtu mmoja bali watu wanaondoka kwa mafuriko, wanaotangazwa ni hao wenye nyadhifa, lakini kwa wananchi wengi wa kawaida washaondoka kifikra , ni utawala mpya .Hili halina shaka kabisa

Hafafu wanakuja jifariji.

Magamba hata itikadi yao kalasi, kwishney kabisa...
 
Tulieni nyinyi issue zote hizo wala watanzania hawazitazami!watanzania wamechoka umaskini na shida kuliko ----- wenu ninyi UVCCM!waulizeni kwnn Tanzania ni maskini?
 
uvccm ni genge la vijana wenye uroho wa madaraka.wavivu wa fikra .mafisadi majizi ya mali za umma hatuna muda wa kuwasikiliza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…