BS eti tufanye kazi sio mikutano kwani magufuli mikutano hafanyi??? Afu kuna watu sijui IQ zao zikoje. Kma hataki siasa si akafute vyama kwa msajili iweje sheria inaelekeza vingine na rais anasema vingine hyo ndo swali letu wapinzani. Hyu shaka naona yakimpata ya nape ndio cku unafki utaisha
Hahahhahaha kwa kutegemea polisi na usalam wa taifa!!!!? Kwenye kampeni mpaka mkaiga M4C yanai hadi mkaacha chagua ccm mkaanza CHAGUA MAGUFULI hahahahahahah nkikumbuka nacheka sana afu ndo unajisifia eti MNATUONYESHAGA UANAUME!!! Kwi kwi kwi unless uanaume ni kufuta uchaguzi unapoona umeshindwa
Uwe unaedit basi kabla ya kupost! Kukufikra ndio nini?
Binafsi sipendi na ninawachukia watu wanaojitapa na wale wanaowapangia wenzao jambo la kufanya kama unavyonituma kujiajiri ili hali miye ni mwajiriwa wa lumumba st ninayewafunda wanaojipendekeza kwa ajili ya tuvyeo tusivyo na pension. Halafu kuniita mtoto wa mkuu sijaoendezewa kwani yeye anakula mayai kea supu miye mihogo kwa chai ya rangi. Tuheshimiane.