Uvccm wataka ngeleja ajiuzulu

BLUE BALAA

JF-Expert Member
Nov 30, 2010
1,222
764
Nimeongea na mwenyekiti wa UVCCM wilaya moja ya mkoa Kilimanjaro. Nimeuuliza mbona sasa wanaigeula serikali na wao ni watoto akinijibu kuwa wanaweka shinikizo ili Ngeleja ajiuzulu. Na amenihakikishia kwamba wao hawakukurupuka kuongea ila kitu ni well planned.
 
Hiyo ni safi sana, ila jana kwenye kikao chao sikusikia mahali popote wakitaja Ngeleja hajiuzulu, au huyo mwenyekiti amekupa mawazo yake
 
tatizo si ngeleja tatizo ni mfumo mzima kwa hiyo ni vema wakafanya mapitio ya serikali nzima
 
Mbona wanaongelea mlango wa nyuma, nani ataamini kuwa wanamtaka Ngeleja ajiuzulu?
Kwanini wasingeweka suala hilo hadharani wakati wakitoa tamko lao?
 
Ajiuzulu kwa lipi? Yaani ajiuzulu kwa kutaja maazimio ya CCM?
 
tatizo si ngeleja tatizo ni mfumo mzima kwa hiyo ni vema wakafanya mapitio ya serikali nzima

Upo kabisa kwenye hii akili mkuu...ataondoka leo Ngeleja kesho litakuja balaa jingine tutasema bora Ngeleja.
Hawa vijana wanajidai hawajui tatizo ni Baba yao na sio wajomba zao....

Kama hawataki haya matatizo yanayotaka wamtimue Ngeleja, basi waanze na Mkwere wao
 
Nimeongea na mwenyekiti wa UVCCM wilaya moja ya mkoa Kilimanjaro. Nimeuuliza mbona sasa wanaigeula serikali na wao ni watoto akinijibu kuwa wanaweka shinikizo ili Ngeleja ajiuzulu. Na amenihakikishia kwamba wao hawakukurupuka kuongea ila kitu ni well planned.

TAMKO halikumuona Ngeleja kuwa Tatizo, bali nimeona 6 na kyembe ndo wanaingilia; na kwamba ikibidi kurejesha kesi bungeni ili kusafisha EL, RA na etc. Hiki ni kiini macho, huyo M/Kiti labda mawazo yake lakini si nguvu ya tamko wala matakwa ya vijana taifa.
 
Hiyo ni safi sana, ila jana kwenye kikao chao sikusikia mahali popote wakitaja Ngeleja hajiuzulu, au huyo mwenyekiti amekupa mawazo yake

Jamani siasa za CCM ni majungu hivyo UVCCM wanaweka strategy zao undeground ili issuee ya Dowans irudi bungeni ijadiliwe. What to do you expect if the matter will be tabled in the comming parliament session.

Kama kweli ikapelekwa bungeni then Ngeleja will be in natural death.
 
Mbona wanaongelea mlango wa nyuma, nani ataamini kuwa wanamtaka Ngeleja ajiuzulu?
Kwanini wasingeweka suala hilo hadharani wakati wakitoa tamko lao?

Hawajatamka ila wanaweka strategies ili issue irudi bungeni
 
Nimeongea na mwenyekiti wa UVCCM wilaya moja ya mkoa Kilimanjaro. Nimeuuliza mbona sasa wanaigeula serikali na wao ni watoto akinijibu kuwa wanaweka shinikizo ili Ngeleja ajiuzulu. Na amenihakikishia kwamba wao hawakukurupuka kuongea ila kitu ni well planned.

Janja ya paka panya kwisa tambua kwisa tambua sasa
mmebeba junia la nazi ngata kifuuuuuuuuuu........
 
Kwa sasa bungeni kuna spika wao. Huenda wameshaongea namna ya ku-handle na kuisawazisha. Hii filamu sijafahamu imepangwa iishe vipi. Tusubiri tuone maana kama mafisadi wanaweza kuweka spika wao bungeni lazima awasikilize kulinda kitumbua chake.
 
La msingi hapa ni kujua kwanza source ya haya yote ni nini? Aliyehusika ndiye anayestahili kujiuzulu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
tatizo si ngeleja tatizo ni mfumo mzima kwa hiyo ni vema wakafanya mapitio ya serikali nzima

Well said, mbona sasa wanazunguka mbuyu, Ngereja anaweza kuamuru malipo makubwa kiasi kile bila kibali cha mkuu wake wa kazi. Waseme moja kwa moja ni nani wanamlenga kujiuzuru. Au EL anataka kuchukua kiti chake nini
 
Back
Top Bottom