Mzee wa maslahi alikaa katikati aangalie upande upi utaingia ikuli ajiunge nao, na sasa amefanya hivyo amepokelewa UVCCM wamemshindwa January naenuka maziwa kama wao watamuwezaje babu yao? wataendelea na matamko waonekane wapo ila matamko yao ni sawa na hadithi za abunuwasi zinaburudisha tu hazina mafunzo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.