UVCCM wamvaa Maalim Seif Zanzibar

UVCCM wamvaa Maalim Seif Zanzibar

Binti255

Senior Member
Joined
Nov 28, 2016
Posts
130
Reaction score
161
UVCCM wamemvaa Maalim Seif kutokana na Kauli yake alipokuwa ziarani Mkoa wa Mjini magharibi kudai kuwa Makamu wa Rais Samia Suluhu anaunga mkono upinzani.

Ndipo kaimu katibu Mkuu wa UVCCM Shaka akalisemea kidogo suala la Maalim Seif,

"Maalim Seif amefukuzwa CCM mwaka 1987 kwa jaribio la kutaka kuipasua CCM kwa majungu, fitna na uchochezi .Mwalimu Julius Nyerere alimbeba Maalim Seif kichwani akaambiwa Mzee huyo kiumbe ni mzito humuwezi akabisha, Mwishowe akamtupa na kumfukuza "Shaka

Kwa taarifa zaidi soma Gazeti la Mtanzania

IMG_4034.JPG
 
Hapa mwisho kuna uzito... "Hata yeye CCM maslahi...." nishasikia vibarazani watu wakimsema Maalim anatumika na CCM.
 
Back
Top Bottom