UVCCM wampa za uso Lowassa kuhusu sakata la makinikia

kwahiyo wewe unamshangilia anaeachia dhahabu yenyewe itoroshwe kisha anahangaika kudhibiti mchanga wake? Ama kweli mazoba hayajitambui!
 
Hivi uvccm bado wapo nilidhani wamefutwa tanzania.
Wapo Mkuu!Waviziaji wa matukio.Kwao waziri ambaye ni mjumbe kwenye baraza la mawaziri ni mtuhumiwa lkn akiyeongoza kikao si mtuhumiwa!Hawa watu yataka uwe na akili ya ziada kuwaelewa rejea utafiti wa Twaweza!
 
Hiki chama cha CCM ndio maana TWAWEZA wanasema kinapendwa na kuaminiwa na wajinga! Sasa huu ujinga wa UVCCM kudai waziri pekee katika serikali iliyopita ya CCM aliyekuwa mchapakazi ni Magufuli unakisaidiaje chama?
Hizo ndiyo akili za uvccm zilipokomea Mkuu.
 
Sina chama ila video ya Lowassa akiwa Geita wakati wa campaign akiahidi kupitia upya mikataba ya madini na gesi inufaishe wadhawa ninayo. Sipendi unafiki daima japo Lowassa simkubali hata chembe ila hili video ninayo.
 
Mwenye akiri unajua kabisa hiki kijana kinatumiwa vibaya Sana namuonea huruma maana huko nyuma hakuaribika kiasi hiki anaitaji tiba huyu mtoto
 
Kama ni kweli Lowassa hakusema hicho alichodai amekisema itakuwa bonge la msanii.
ULIPO TUPO tafadhali tuleteeni ushahidi kama tajiri wenu aliwahi kusema hayo.
 
Ukiuona alafu utaomba radhi Shaka. mengine hayafai kufanya maigizo watanzani hatutaki siasa za maji taka tunataka mtu awe anaeleza fact. Na wakati mwingine kukaa kimya ni busara sana.. Tuache kabisa mambo ya ajabu ajabu na kama unalakusema liwe la maana.
 
povu la nini
 
Shaka anataka Kiki, kwani mikataba mibovu cwalipitisha wabunge wa mafisiem, huyu dogo ana kiburi na kimbelembele
 
Ushahidi wa video mbona upo?ina maana huyu shaka hajauona ama kaamua kuropoka tuu?afu ana mambo ya kimama sana huyu dogo
Video hata mie sijaiona. Nakumbuka tu kuna wakati Lowassa alipata shida ikabidi achimbe dawa haraka. Kama zipo video tupeperushie Mkuu uongo ujitenge.

 
Chama changu ccm ndicho chenye uchungu wa kupigana maslahi ya nchi hii. Lakini sisi ndo tuliwaingiza tanzania ktk wizi huu wa mchana mimi nashindwa kukanusha kutokuwa wahusika kwani sisi ndo tunaongoza nchi tangu tumepata uhuru
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…