Haa...what else could you expect from him,or any body else from that "clan" for that matter? Political Mutation ilishawaharibu hawa watoto, mawazo ya baba na babu zao yalivyopinda na kuamini kwa dhati kabisa kuwa "CHAMA" kina umuhimu wa kwanza hata ikibidi kwa gharama ya TAIFA; basi na vitoto vyao vikazaliwa vikisikia hilo,vikiona hilo,vikiwaza hilo....na yes,ndo maana vinaongea hilo!Haya ni maneno yake Nape Moses Mnauye kwenye ukurasa wake wa Facebook (Uso wa kitabu):
"YAMETIMIA YALIYOTABIRIWA NA MABADILIKO YA BENDERA YA CHADEMA KUONGEZA RANGI NYEKUNDU KATI YA ZINGINE,KUMBE NDO ULIKUWA MWELEKEO?!"
My take, niliamini kwamba ni mtu mwenye mtizamo chanya, kumbe yeye ni mmoja wa walewale, safari bado ni ndefu!!!!!!
HAPA CHINI NI MANENO ALIYO SEMA MKUU WA WILAYA YA MASASI KWENYE FACEBOOK;
Nape Nnauye
YAMETIMIA YALIYOTABIRIWA NA MABADILIKO YA BENDERA YA CHADEMA KUONGEZA RANGI NYEKUNDU KATI YA ZINGINE,KUMBE NDO ULIKUWA MWELEKEO?!
Maoni yenu tafadhali

ameongea maneno yenye busara sana tofauti na wanasiasa wengine wanaoropoka tuu! safi sana NAPE
Riz1 anaongea yeye kama nani? Wewe baba yako kututawala basi na wewe unataka kututawala. Kaa nyumbani kwako ulee familia yako achana na watanzania nyang..........weh!! Napatwa na kizunguzungu nikisikia habari ya huyu mtu. Wewe tukutane The Hague na mafisadi wenzako bila kusahau baba yako. Ulimbukeni utakuponza fi.........