Watu badala ya kusifia uthubutu wa hii serikali wanamtetea mbowe. Mfyuuu!!
Magufuli mwenyewe ufisadi umemshinda na kujenga viwanda vimemshinda sembuse dawa za kulevya,je wale polisi aliowataja Makonda mbona wenyewe hawajapelekwa mahakamani na kamanda Sirro na yeye Makonda alisema ni muuza sisha mbona hajakamatwa?
Alishajiandaa kushindwa.Wauza unga watatumia media,timu za mpira na bunge au vyama vya siasa lakini hawatakwepa mkono wa Sheria..Makonda alishajiandaa kwa yote na wote
Jamaa anavyopenda sifa hilo siwezi kupinga alishawahi kuwapa pesa Yamoto bendi wamtungie wimbo kwenye kampeni ya usafi sharti wataje jina lake.Makonda anajidanganya na anawadanganya watoto wa watu nao wanaingia kichwakichwa na tunafahamu hizo T-shirt anawachapishia yeye mwenyewe mwisho wa siku Petro atamkana kabla jogoo halijawika
POA!!wake me up 2020 nimechoshwa na huu upuuzi