Mkuu watasema nini wakati karibu 90% walikuwa waimba mapambio ya SHUJAA! Walisifu na kutukuza hata pale pasipofaa, walinanga wenye mawazo kinzani na walishangilia watu kufungwa na kuteswa. Walipiga propaganda juu ya miradi ya kifisadi ile ya chato airport, walikenua meno kuhusu GAWIO la taasisi kumbe zinapata hasara.
CAG kaja kuumbua UNAFIKI na uongo wao, watajadili nini?