Lord OSAGYEFO
JF-Expert Member
- Feb 19, 2021
- 3,079
- 4,891
Hakika inashangaza sana Kiona Vijana UVCCM wapo KIMYA KABISA juu yanayojiri katika RIPOTI ya CAG Aliyomkabidhi Mwenyekiti wa Ccm Na RAIS wa Tanzania.Nilitarajia kuwasikia VIJANA UVCCM wakiichambua kwa KINA RIPOTI hiyo na kutoa Maoni yao lakini Wapo Kimya kama Vile hakuna RIPOTI
