Uvccm ni chuo cha siasa pale hakuna viroba km baraza la vichaa chadema ( bavicha)
Nimebanaje. Nimesema wasiandamane? Hata Mzee Mwanakijiji alipotabiri kwamba na CCM nao watataka kufanya maandamano nikasema lengo halitakuwa kufanya maandamano bali kuzuia maandamano ya wengine. Kama wajinga fulani wameamua kuandamana bila ya kuzua tafrani shida yako wewe mstaarabu ni nini, si uwaache waandamane?Tanzania ni Nchi huru. Kila mtu ana uhuru na haki ya kuwaza anavyoweza. Huna mamlaka ya kubana uhuru huo
Mbona ya Ukuta mnapingaTanzania ni Nchi huru. Kila mtu ana uhuru na haki ya kuwaza anavyoweza. Huna mamlaka ya kubana uhuru huo
Mbona ya Ukuta mnapingaTanzania ni Nchi huru. Kila mtu ana uhuru na haki ya kuwaza anavyoweza. Huna mamlaka ya kubana uhuru huo
Watoe taarifa Polisi ili walindwe na wafanikishe maandamano yao safi, tunaamini polisi hawataua mtu kwenye maandamano haya mazuri yaliyolenga kumsifia Magufuli, ila wajipange kufyatua risasi kwa maandamano yasiyo msifu MfalmeIN SUMMARY
Kaimu Katibu Mkuu wa jumuiya hiyo, Shaka Hamdu Shaka alisema maandamano hayo ni ya amani tofauti na vyama vingine na tayari wameshatoa taarifa kwenye vyombo vya dola kwa ajili ya ulinzi.
=======
Jumuiya ya Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) imepanga kuitisha maandamano nchini nzima Agosti 31 mwaka huu yenye lengo kumpongeza Rais John Magufuli kutokana utendaji kazi tangu aingie madarakani.
Kaimu Katibu Mkuu wa jumuiya hiyo, Shaka Hamdu Shaka alisema maandamano hayo ni ya amani tofauti na vyama vingine na tayari wameshatoa taarifa kwenye vyombo vya dola kwa ajili ya ulinzi.
Alisema Rais Magufuli amefanya mambo mengi katika kipindi kifupi alichokuwa madarakani hivyo hawana budi kumpongeza kwa njia ya maandamo ili kufikisha ujumbe kwa wananchi waliomchagua.
Source: mwananchi
Umegusa penyeweKabla hawajaandamana, wamesikia busara za Bashe?