Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,242
- 34,917
HUU MCHEZO WA SIASA HAUTAKI HASIRAAcha wafanye, Mtego huo.
Mbona yanajulikana na mingine yapo. Ila Sept 1 ni kurasimisha UKUTA.MAANDAMANO UVCCM: UVCCM yatangaza kufanya maandamano nchi nzima Agosti 31 kwa ajili ya kumpongeza Rais Magufuli kwa utendaji wake mzuri, Shaka H. Shaka aeleza.
Mytake
Hii nikwajili wakinyimwa waseme ya UKUTA nayo yasitishwe. Mchezo huu hauitaji hasira poleni
Watu hawataki kufanya kazi....!!!Unajua hii nchi ina drama za kipuuzi sana kwahiyo maana ake ni nini hasa hahaha aisee
Hao ndio think tank ya chama, copy n pasteMAANDAMANO UVCCM: UVCCM yatangaza kufanya maandamano nchi nzima Agosti 31 kwa ajili ya kumpongeza Rais Magufuli kwa utendaji wake mzuri, Shaka H. Shaka aeleza.
Mytake
Hii nikwajili wakinyimwa waseme ya UKUTA nayo yasitishwe. Mchezo huu hauitaji hasira poleni
Tatizo lao liko kwenye fikra zile za enzi za chama kimoja kilichokuwa kinajinasibisha na siasa za kishoshalisti au ukomunisti. Naukumbuka wimbo mmoja wa miaka ya themanini uliokuwa unaimbwa "Naani naani naani anapinga chamaa, anayepinga chama serikali imtoee!" Wanatamani sana turudi zama hizo!!Hao ndio think tank ya chama, copy n paste
Tanzania ni Nchi huru. Kila mtu ana uhuru na haki ya kuwaza anavyoweza. Huna mamlaka ya kubana uhuru huoTatizo lao liko kwenye fikra zile za enzi za chama kimoja kilichokuwa kinajinasibisha na siasa za kishoshalisti au ukomunisti. Naukumbuka wimbo mmoja wa miaka ya themanini uliokuwa unaimbwa "Naani naani naani anapinga chamaa, anayepinga chama serikali imtoee!" Wanatamani sana turudi zama hizo!!