Kuna mtu aliwageuza watu kuwa mazuzu,na hizi ndio generation zao za uzuzu, na wamewaokota watanzania kuwa ni mazuzu, kwenye mazishi kutakua na parade la kufa mtu (tupo bora kwa hili)na speech za kusifia sifia vitu vya ajabu, 60yrs ya uhuru ,serikali ya ccm haina Divers pale Mwanza, Bukoba na Musoma, pia hatuna both za uokoaji ndani ya ziwa Victoria!!