Katika kile kinachoonekana kuwa ni kukomaa kwa demokrasia vijana wanachama wa ccm chuo kikuu cha jordani wanatarajia kufanya uchaguzi wa viongozi wake wiki hii
wakati huo huo kada maarufu wa ccm chuoni hapo ndugu chesko lwayo amejitosa katika kuwania uongozi katika jumuiya hiyo
kada huyo ambae amekuwa maarufu kutokana na uwezo wa kisiasa anaonekana kuungwa mkona na wanachama wengi
hivyo wapenzi na washabiki wote wa chadema wamekua wkihofia kutokana na umaarufu huo anaweza aka sambaratisha chadema katika chuo hicho kutokana pia kupata uungaji mkono hata toka kwa wshabiki na wana chadema wa chuoni hapo
source mimi mwenyew nipo morogoro maana hiki chuo ni ngome kuu ya ccm na wanafunika saana