Chama Cha Mapinduzi (CCM) ni Cha Kongwe Afrika na Dunia huwezi kukitofautisha na chama kama Communist Party of China(CPC) na African National Congress(ANC) cha Aftica Kusini. Pamoja na ukongwe kwa umri ni chama chenye historia ya kusimamia maamuzi magumu na yenye tija kwa Taifa.
Chama Cha Mapinduzi kina utaratibu wa kufanya uchaguzi ndani ya chama kila baada ya miaka mitano, hii inaendelea kuonyesha ukomavu wa chama hichi kidemokrasia
Kwa sasa idadi kubwa ya watanzania ni vijana ni zaidi ya 65% ya watanzania wote, chama kilitambua umuhimu wa vijana ndani ya CCM kwa kuanzisha na Jumuiya ya vijana (UVCCM) yenye lengo lengo la kuwafikia vijana wote wa kitanzania kuwasikiliza na kutatua changamoto zao hii ni kutokana na umuhimu wa kundi hili katika ujenzi wa Taifa letu.
Pamoja na kuwepo kwa jumuiya zingine kama UWT na WAZAZI ndani ya CCM, Jumuiya ya vijana ndiyo tegemeo kubwa kwa CCM kulingana na rika, uwezo na nguvu za kufanya kazi.
Halmashauri Kuu ya CCM iliyoketi tarehe 21/11/2017 ilifanya uteuzi wa wagombea nafasi ya Mwenyekiti wa UVCCM, Wanachama wa saba(7) vijana wenye sifa waliteuliwa, idadi kubwa ya walioteuliwa haikunishangaza kwani chama chetu kina vijana wengi makini.
Nilijiridhisha zaidi na ukomavu na umakini chama changu baada ya kuona uteuzi wa ndugu SIMON MATHIAS KIPALA kwa nafasi ya Uenyekiti wa UVCCM. Nilijiuliza ni yule Simon Mathias Kipala tuliyekua tunamuhitaji UVCCM? Nilihisi sauti kubwa ya vijana ikiitikia LAA ASHA NDIYE....
Kwa nini awe yeye?
1. Chama kinahitaji kiongozi kijana na msomi hatuna shaka na Elimu yako wala chembe ya wasiwasi juu ya umri wako.
2. Chama kinahitaji kiongozi mwenye mahusiano mazuri vijana ndani na nje chama, ndani na nje ya mipaka ya nchi
, shaka tuliondoa ukiwa na umri usizidi miaka 25 uliweza kutuunganisha vijana wa Uganda,Kenya Rwanda ,Ghana na nchi baadhi bara la ulaya
3.Chama kinahitaji kiongozi muadilifu na muaminifu, haya tumeyaona ukiyatekeleza kwa vitendo ukiwa kwenye maisha yako ya kawaida, kwenye uongozi wako UDSM, utumishi wako ndani ccm
4.Chama kinahitji kiongozi mzoefu, tunaendelea kushuhudia uzoefu wako wa uongozi ukiwa Rais wa UDSM, Mwenyekiti wa TAHIRISO, mtumishi wa CCM Makuu~ Dodoma.
5.Chama kinahitaji kiongozi mbunifu na mpenda Maendeleo, tumeyaona ukitoa maandiko mbalimbali yanayokishauri namna gani chama kitainua na kukuza uchumi wake yenye lengo la kuongeza ufanisi kwenye shughuli zake, haya tuliyaona ukiwa Katibu Msaididi Mwanza~Ukerewe
Lengo la Chama Cha Mapinduzi ni kushinda chaguzi na kuunda serikali ni vema sasa tukaunga mkono viongozi wenye Wasikivu, wazalendo, wanakubali kukosolewa, waadilifu na waaminifu na wabunifu.
Simion Mathias Kipala chama kimekuamini utendaji wako. Vijana tupo nyuma yako,TUNAHITAJI KUIONA UVCCM MPYA..
MAUMA
MARA~MUSOMA