Omary Kipingu
Member
- Feb 22, 2016
- 40
- 48
*ZIARA YA KAIMU KATIBU WA IDARA YA VYUO NA VYUO VIKUU BODI YA MIKOPO*
Tarehe 07/11/2017 Mchana wa Leo kaimu katibu Wa Idara ya Vyuo na Vyuo Vikuu ndg *Daniel Zenda* ametembelea ofisi za Bodi ya Mikopo kujua kinachoendelea kutokana na Malalamiko yaliyojitokeza kwa wanafunzi walio kosa Mikopo.
*Ndg Zenda* Amekutana na Wanafunzi hapo Bodi ya Mikopo na kuzungumza nao na kuwaomba watulie kwani Serikali ya Awamu ya Tano imewasikia na Changamoto za Mikopo zitatatuliwa kwa wale walio kuwa na sifa za kupata Mikopo.
Na baadaye kukutana na uongozi wa Bodi na kuzungumza huku akiwaomba waangalie mazingira yalipo sasa kuwa rafiki kwa wanafunzi kukata rufaa .
Nakupitia Dirisha la Rufaa na kuwaomba wanafunzi watumie fursa hiyo kuanzia *Tarehe 13/11/2017* Kukata Rufaa.
Aidha *Tunaipongeza Serikali ya Dr John Pombe Magufuli* kwa kuweka Fedha za Mikopo za Wanafunzi kiasi cha *Tsh 427.54 Bilion* kwa wanafunzi *122, 623* kwa mwaka 2017/2018. Na kwa Awamu ya kwanza kiasi cha *Tshs 147.06 Bilion* na Mpaka Leo hii Tarehe 07/11/2017 Jumla ya wanafunzi 29, 578 wa Mwaka wa kwanza(1st Year) wamepelekewa Mikopo ya kiasa *Tshs 96.5Bilion*
*Kuipongeza zaidi Serikali* kwa kuangalia *yatima* 937, *Wenyemzazi Mmoja* 5, 118, Wenye *Ulemavu* 486, Wenye *kipato Duni/Uwezo Mdogo* 23, 037 kupatiwa Mikopo.
Pamoja na kutoa *Rai kwa taasisi zote za vyuo kupokea Maombi ya Rufaa za wanafunzi na kuwasilisha Bodi ya Mikopo*.