O oloctiame Member Joined Jul 24, 2018 Posts 25 Reaction score 13 Dec 16, 2019 #1 Muonekano mpyaa wa chuo cha IHEMI kilichopo mkoani Iringa baada ya maboresho. Chuo hichi ni cha CCM maalum kwa ajili ya kuwajenga na kuwaandaa vijana wake kiuongozi. CCM HOYEEEEEEEE Sent using Jamii Forums mobile app
Muonekano mpyaa wa chuo cha IHEMI kilichopo mkoani Iringa baada ya maboresho. Chuo hichi ni cha CCM maalum kwa ajili ya kuwajenga na kuwaandaa vijana wake kiuongozi. CCM HOYEEEEEEEE Sent using Jamii Forums mobile app
Drone Camera JF-Expert Member Joined Jul 25, 2017 Posts 14,177 Reaction score 14,155 Dec 16, 2019 #2 Wanakuja wahuni kupinga
Chukwu emeka JF-Expert Member Joined Jan 12, 2018 Posts 25,284 Reaction score 40,901 Dec 16, 2019 #3 Jambo jema kuwa naeneo kama hili maana vijana wengi wanaochaguliwa na kuteuliwa wengi hawana maadili ya uongozi
Jambo jema kuwa naeneo kama hili maana vijana wengi wanaochaguliwa na kuteuliwa wengi hawana maadili ya uongozi
R Retired JF-Expert Member Joined Jul 22, 2016 Posts 52,350 Reaction score 102,726 Dec 16, 2019 #4 ROBERTO 20 said: Wanakuja wahuni kupinga Click to expand... Mbona na baba yako anapinga kuwa huu ni wizi wa hela za umma kwenda chama binafsi, naye ni mhuni?
ROBERTO 20 said: Wanakuja wahuni kupinga Click to expand... Mbona na baba yako anapinga kuwa huu ni wizi wa hela za umma kwenda chama binafsi, naye ni mhuni?
Drone Camera JF-Expert Member Joined Jul 25, 2017 Posts 14,177 Reaction score 14,155 Dec 16, 2019 #5 Retired said: Mbona na baba yako anapinga kuwa huu ni wizi wa hela za umma kwenda chama binafsi, naye ni mhuni? Click to expand... Who's my dad?
Retired said: Mbona na baba yako anapinga kuwa huu ni wizi wa hela za umma kwenda chama binafsi, naye ni mhuni? Click to expand... Who's my dad?
mrangi JF-Expert Member Joined Feb 19, 2014 Posts 96,316 Reaction score 137,907 Dec 16, 2019 #6 Mmetumia billion ngp kwenye ujenzi huo?? Ova Sent using Jamii Forums mobile app
SAGAI GALGANO JF-Expert Member Joined Nov 13, 2009 Posts 50,089 Reaction score 75,527 Dec 16, 2019 #7 oloctiame said: Muonekano mpyaa wa chuo cha IHEMI kilichopo mkoani Iringa baada ya maboresho. Chuo hichi ni cha CCM maalum kwa ajili ya kuwajenga na kuwaandaa vijana wake kiuongozi. CCM HOYEEEEEEEEView attachment 1293822View attachment 1293823View attachment 1293824 Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Kumbe ndiyo hapa bokoharam mnajifunzia ugaidi Sent using Jamii Forums mobile app
oloctiame said: Muonekano mpyaa wa chuo cha IHEMI kilichopo mkoani Iringa baada ya maboresho. Chuo hichi ni cha CCM maalum kwa ajili ya kuwajenga na kuwaandaa vijana wake kiuongozi. CCM HOYEEEEEEEEView attachment 1293822View attachment 1293823View attachment 1293824 Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Kumbe ndiyo hapa bokoharam mnajifunzia ugaidi Sent using Jamii Forums mobile app
mpimamstaafu JF-Expert Member Joined Jul 18, 2018 Posts 4,445 Reaction score 4,714 Dec 16, 2019 #8 ROBERTO 20 said: Wanakuja wahuni kupinga Click to expand... Mie nawapongeza sana kwani uwezo wa vijana wengi wa CCM ni mdogo sana uwepo wa chuo utasaidia kuwaongezea uwezo kiakili Sent using Jamii Forums mobile app
ROBERTO 20 said: Wanakuja wahuni kupinga Click to expand... Mie nawapongeza sana kwani uwezo wa vijana wengi wa CCM ni mdogo sana uwepo wa chuo utasaidia kuwaongezea uwezo kiakili Sent using Jamii Forums mobile app