UVCCM aahaa Nimesikia mkisema Rais ajaye.

Hutaki aongee?,acha achane mistari tujua rangi halisi za viongozi wako
 
Dr. Bashiri ameshakiri kuwa huko uvccm hawajawahi kuandaa viongozi full stop.
 
Mkoa wenyewe hauwezi ... Watu wapo msibani anatuletea maneno ya Shombo mxieuzzz!!!

Dogo anazarau sana huyo ... akiwa Raisi si atatuzolesha mavi kwa mikono huyo ...
 
Malaika wa gwajima wameanza kufanya kazi ampemaaaa kulipizia video chafu aliyo singiziwa ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…