arola54 JF-Expert Member Joined Jan 23, 2014 Posts 664 Reaction score 142 Jan 24, 2014 #61 Rogie said: Mwanaume unavaa ili uvutie wanawake. Click to expand... ....waweza vutia hata wanaume wenzio.
Rogie said: Mwanaume unavaa ili uvutie wanawake. Click to expand... ....waweza vutia hata wanaume wenzio.
Kilongambali Member Joined Jan 20, 2014 Posts 7 Reaction score 2 Jan 24, 2014 #62 huna girlfriend ? she will advise u uvae nn
A Aine JF-Expert Member Joined Nov 1, 2010 Posts 1,603 Reaction score 489 Jan 27, 2014 #63 Tyta said: Click to expand... acha kula unga ndo uje tukushauri uvaeje!
SANGA ONE Senior Member Joined Jul 7, 2012 Posts 125 Reaction score 29 Jan 27, 2014 #64 vp bwana shamba upohapa hapa tz?
Babamzazi Senior Member Joined Oct 27, 2013 Posts 176 Reaction score 39 Jan 30, 2014 #66 OZILY said: Vaa jezi ya Man United chin vaa jeans...lazma usifiwe kila kona unatakapopita Click to expand... Hiyo misifa yenu inaanza kuisha. Naona mnarudia enzi le ile ya kuficha mijezi yenu ya Emirates. Kuongoza ligi kwa muda tu basi mnaona mmechukua Kombe!!!1 Ama kweli kipofu kaona mwezi mchana wa saa sita hatupumui.
OZILY said: Vaa jezi ya Man United chin vaa jeans...lazma usifiwe kila kona unatakapopita Click to expand... Hiyo misifa yenu inaanza kuisha. Naona mnarudia enzi le ile ya kuficha mijezi yenu ya Emirates. Kuongoza ligi kwa muda tu basi mnaona mmechukua Kombe!!!1 Ama kweli kipofu kaona mwezi mchana wa saa sita hatupumui.
M Mr. Verossa JF-Expert Member Joined Feb 21, 2013 Posts 571 Reaction score 291 Jan 30, 2014 #67 arola54 said: ....waweza vutia hata wanaume wenzio. Click to expand... ha ha ha