Uvaaji wangu umekuwa kichekesho

Weka picha yako kwanza tujue jinsia na mwonekano wako.
Rahisi kusauri.

Naweza kushauri uvae kaptura kumbe una tusipik miguuni na kitambi, utaonekana kama samtreala limekata senta bolti.

Hahahaaaa,we jamaa kweli Kongosho..Yani simpatii picha huyo mjamaa kwa jinsi ulivyompotray..

"Nlikuwepo":bolt:
 
Duh so mpk leo hujui unapaswa uvaaje unavaa kwa ajili ya watu,poor u.
 
Samahani .... Wewe ni wa kiume au ni mwanaume?!!€•£#*%
 
Mavazi yanaendana na maumbile na rangi ya ngozi. Ukiweka picha itasaidia kukushauri, vinginevyo tembelea kwa wanamitindo watakushauri
 
Ningeweza kukushauri kama ningekua status yako rafiki. Now its difficult.
 
Vaa jeans na t-shirt inategemea umbo na rangi ya ngozi yako. Kama mimi (white kidogo) hua sipendi t-shirt nyeupe
 
kuvaa vizuri ukatokeleza nayo ni kipaji ati.
 
raha ya fasheni uwe na mwili wa nguo!!
ehehehehe muulizeni hii sauda mwilima ndo mtajua!!
she is veeeeery cute!!
iiiiiila sasa kwwny kupendeza dah!!
 
Ukivaa hivi utapendeza sana ...πŸ˜ŽπŸ˜‰πŸ˜‰
 

Attachments

  • 1390549852120.jpg
    10.1 KB · Views: 78
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…