Uuzwaji holela wa silaha jijini Dar es Salaam

Uuzwaji holela wa silaha jijini Dar es Salaam

Kitu chochote kinaweza kua Silaha inategemea na kitu hicho unataka kukitumiaje,

Hata kiberiti ni silaha pia,hata Kamba ni silaha pia,ukianza kuhesabu ni vitu gani ambavyo ni silaha na visiuzwwe,basi utazuwia uuzwaji wa vitu vingi sana.

Japo wazo lako au wasiwasi wako nauheshimu na kuheshimu maoni yako.
Mkuu, sasa mpaka mtu akutie kiberiti unamwangalia tu (Ukiachana na kuchoma Jengo) 😁

Kwa mantiki hiyo mwiko, viatu (hasa vile vya mchuchumio😁), mitandio na aina zote za vining’inizo vingeuzwa kwa uangalifu.
 
Nimekuja mbio mbio nikidhani kuna chimbo jipya wanauza SMG/AK-47 nipate kadhaa za kutamba nazo hapa mjini, kumbe ni visu tu hata mwenyewe ninavyo hapa!.
 
Acheni kukuza mambo.
Hiyo biashara nimeanza kuiona around miaka 6 iliyopita. Inapata wateja ndio maana inaendelea.
Ni silaha binafsi wengi hawawezi kumudu gharama za bastola ya sh. ml. 2.5 na wengine pesa wanazo ila usumbufu mwingi mpaka unapata hiyo pistol plus ukaguzi wa kila mwaka na ukipoteza mambo ya kuwekwa selo
 
Kwa Sheria ya Tanzania visu ni weapons.
Sio kweli mimi polisi walishawahi kunikamata na bisibisi usiku ulikuwa mtiti
mpaka tukafika kituoni..

Ili kifaa kiwe siraha lazima kitumike kwenye tukio either la mauaji au la kudhuru au la kutishia

Do you understand!
 
Nimekuja haraka haraka nikadhani wanauza bunduki kama short gun au SMG na AK47 na mimi ninunue nijiongezee ulinzi binafsi
 
Aiseeee! Watu wengine bhana, me nikajua magobole kumbe unaongelea dhana za kazi na si maangamizi.
 
Back
Top Bottom